Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yalifanyika jijini hapa.

Mhagama alisema taarifa za utafiti zinaonyesha kuwa maambukizi mapya ya VVU yanawakabili zaidi vijana wenye umri huo na kwamba yamefikia asilimia 40 huku asilimia 80 kati ya hao ni vijana wakike jambo ambalo ni hatari kwa nguvu kazi ya taifa.

Alisema ili kukabiliana na tatizo hilo, serikali inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ukiwamo wa kudhibiti Ukimwi wa mwaka 2018/19 na 2022/23. Mpango huo unalenga kupunguza maambukizi mapya ya VVU, kupunguza vifo vitokanavyo na VVU na kuhakikisha watu wanaoishi na maambukizi ya VVU wanaendelea kutumia dawa.

Waziri Mhagama alisema kwenye mkakati huo, serikali imekuwa ikishirikiana na wadau mbalimbali katika utekelezaji ikiwa ni pamoja na kubadili tabia kwa vijana ili kudhibiti maambukizi mapya. “Lakini pia tuna mipango maalumu ya kudhibiti maambukizi kwenye mikoa ambayo ina maambukizi makubwa ambayo yako juu ya kiwango cha kitaifa ikiwamo Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera na Geita ambayo ipo juu ya kiwango cha kitaifa,” alisema Mhagama.

Alisema kwa sasa kuna baadhi ya mikoa ambayo imebainika kuwa na kasi kubwa ya maambukizi ikiwamo Geita, Simiyu, Manyara na Dodoma. Pia alisema serikali ina mipango maalumu ya kudhibiti maambukizi mapya kwenye maeneo yenye shughuli maalumu za uzalishaji kama vile migodi na uvuvi kwa kusambaza kondomu pamoja na kutoa elimu ya kujikinga.

IPP MEDIA
 
Hapa chanzo ni born with HIV, na vijana wengi siku izi ni born with, na wanapeana papuchi kinoma bila kujua afya zao, nakumbuka nishawahi pendwa na born with, ila sababu nilikuwa najua, niligoma kumnyandua
 
Mimi najiuliza tu, kwanini mama Samia hakuja Mbeya jana kama tulivyo aminishwa na hakujuwa na maelezo yoyote? Yasije yakawa ndio yale ya Magufuli
 
Mimi najiuliza tu, kwanini mama Samia hakuja Mbeya jana kama tulivyo aminishwa na hakujuwa na maelezo yoyote? Yasije yakawa ndio yale ya Magufuli

Yapi hayo?
 
Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yalifanyika jijini hapa.
Madanguro yanaharibu vijana, biashara za ukahaba pembezoni mwa kumbi za starehe na clubs ziondolewe mara moja sana, zinachochea kusambaza vvu.
 
Hapa chanzo ni born with HIV, na vijana wengi siku izi ni born with, na wanapeana papuchi kinoma bila kujua afya zao, nakumbuka nishawahi pendwa na born with, ila sababu nilikuwa najua, niligoma kumnyandua
Mkuu kwa miaka hii ya karibuni wanaozaliwa nao ni wachache sana kutokana na utaratibu uliopo wa sasa wa kuwapima kina mama wajawazito wanapoanza kliniki.Kwa kifupi kwa dunia hii ya sasa kuzaa mtoto aliye na HIV, ni uzembe mkubwa sana kwa wazazi.
 
Kama serikali isipokua makini hivi visichana vyaskuhizi vinaweza kuliteketeza taifa lote. hawataki mahusiano nawatu warika lao, wanauza miili kwa tamaa yavitu vidogodogo, Niwashamba Sana wautandawazi.

Serikali iwe serious na socially constructed behavior zitakazobadili akili zahawa watu. Kama wanavopigia debe habari zamifumo dume wapigie debe nahiz taarifa za ukimwi natakwimu zake waandae nabajeti kabisa ili research zifanyike namajibu yatatizo yatakayopatikana yawe implanted kwa jamii tuokoe taifa.
 
Atleast jana tumeona faida ya nyeto, boys ongezeni juhudi za upigaji kuimarisha ukomavu wa ngozi, no michubuko.

Tupewe kipaumbele kampeni ya kitaifa, 'Nyeto [emoji97] for strong di_ck skin' haters watakuja kudis [emoji23]
 
Hii habari sio nzuri kabisa....WAZAZI tuongee na watoto wetu....tunatumia gharama kubwa kuwasomesha, huku tukihangaika kujitengenezea future, but hatuongei na vijana wetu.....somo la kondomu majumbani ni muhimu.....kumkataza ni sawa....but ndomu itamuweka salama..........
PUNYETO ni salama pia.......
 
Hizo takwimu sio za kuzisoma soma hovyo kama taarifa ya habari za michezo

Watumie busara
 
hata condoms hazisaidii kitu, tena hizo ndo zinawapa kiburi cha kuendekeza ngono. Mbona watu wanavaa condom na ngoma wanapata kama kawa tuuuu.
 
Back
Top Bottom