Kumbe hiki kimya ulikuwa una-Google kuangalia YouTube wanafanya vipi payments zao, na kwa bahati mbaya umetoka na elimu duni kwa kudhani mtu aki-view tu, ndo tayari unalipwa bila kuangalia factors zingine... keep learning ili uje na tangible inputs!
Hoja yako #3 inathibitisha kwamba HUNA UELEWA wowote kuhusu YouTube, ndo maana ukalazimika ku-Google ili upate mawili matatu kwa sababu suala la audience ipi itakufanya ulipwe itategemea na Advertizer's Target Market na wala sio lugha or anything like that!
Hata kama utatumia lugha ya Kiyunani, na kuelezea uchaguzi wa Israel kwa mfano, ads itakayotokea ndiyo itakayokupa uwezekano wa wewe kulipwa, na Advertizer amechagua location husika kama target market/audience!!
Google hawachukui chao kutokana na Views bali wanachukua chao baada ya tangazo husika kuwa viewed at least for 30 seconds! Na lau kama ingekuwa unafahamu hilo kabla, usingesema Google wanafaidika kwa kuwapa taarifa za uongo!!