Na hilo la creativity ni muhimu sana!!Unazungumzia YouTube hii hii ambayo huwez kumiliki channel pasi na kulipia leseni + ada ya kila mwaka? Do you know how this policy kills creativity among youth?
NI kweli YouTubers wengi hawana uelewa mkubwa wa haya mambo, lakini kama wasingekuwa wamewekewa hivi vikwazo, ingekuwa wanaendelea kujifunza with time kutokana na makosa wanayofanya; na baada ya muda, wengine wangekuwa wame-shift hata kutoka kwenye aina moja ya content to another!!!