Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana hao biashara za mtaani hawaziwezi kwa vile uaminifu ni changamoto , mbongo utamdhulumu fresh ial raia wa kigeni kama waarabu na wahindi wanafanywa kitu kibaya .Vijana wasomi walioko mtaani,
kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa mnayokaribia. Kama vijana wasomi, mnao sauti muhimu katika mchakato huu wa kisiasa.
Kuhusiana na vilio vyenu, ni kweli kwamba ukosefu wa ajira na mitaji ni masuala muhimu ambayo vijana wengi wanakumbana nayo.
Hali hii imekuwa changamoto kubwa hasa katika miaka ya hivi karibuni. Ni muhimu kwamba waamuzi na viongozi wanaochaguliwa watakapokuwa kwenye madaraka waweze kushughulikia masuala haya kwa umakini.
Kwa hivyo, ninakubaliana na wito wenu kwamba vijana wasomi wanaoishi mitaani wanapaswa kuchagua viongozi watakaoweza kutatua changamoto hizi.
Katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa, ni vyema vijana kutafuta wagombea ambao wana sifa na uzoefu wa kushughulikia masuala ya ajira na maendeleo ya kiuchumi kwa vijana.
Aidha, ninakubaliana na pendekezo lenu la kuwa waamuzi wanapaswa kuwa na elimu ya chini ya Kidato cha Nne. Hii itasaidia kuhakikisha kuwa wao wana uwezo wa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
Pia, hii itasaidia kupunguza kiwango cha umalaya katika siasa zetu za mitaa na kitaifa.
Vijana wasomi, kundi lako lina jukumu muhimu katika mchakato huu. Tunakuhimiza kuendelea kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huu na katika mambo ya kisiasa kwa ujumla. Sauti zenu ni muhimu katika kuunda mustakabali wetu kama nchi.
Pesa wakipewa wapokee,boda Bora wakipewa wapokee ila kura wasiwape walio wapa pesa na boda boda.Umewashauri vizuri sana, sema wanaweza kupewa mikopo ya chapchap. Huenda hata hizo bodaboda wamepokea, wanasahau mateso yote.
Bantu....Binadamu tumeumbwa kusahau, imagine na SHIDA zote mtu anazopitia, ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira n.k lakini wanasiasa wakija kipindi Cha kampeni wakigawa "chenji chenji" zao na kutulisha wali kwa maharagwe, basi huwa tunajisahau kabisa, kuja kushtuka ushapiga kura na uchaguzi umeisha, Mitano tena...!Umewashauri vizuri sana, sema wanaweza kupewa mikopo ya chapchap. Huenda hata hizo bodaboda wamepokea, wanasahau mateso yote.
Kweli kabisa, na ccm wanajua hilo na ndiyo maana wanafanya watakavyo. Wanajua kipindi cha uchaguzi watamwaga hela, tutasahau. Tujifunze kwa Afrika kusini, uchaguzi huu uliopita.Bantu....Binadamu tumeumbwa kusahau, imagine na SHIDA zote mtu anazopitia, ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira n.k lakini wanasiasa wakija kipindi Cha kampeni wakigawa "chenji chenji" zao na kutulisha wali maharagwe, basi huwa tunajisahau kabisa, kuja kushtuka ushapiga kura na uchaguzi imeisha, Mitano tena...!
Hakika mawazo chanya kabisa vijana amkeni hili taifa ni lenu.Vijana wasomi walioko mtaani,
kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa mnayokaribia. Kama vijana wasomi, mnao sauti muhimu katika mchakato huu wa kisiasa.
Kuhusiana na vilio vyenu, ni kweli kwamba ukosefu wa ajira na mitaji ni masuala muhimu ambayo vijana wengi wanakumbana nayo.
Hali hii imekuwa changamoto kubwa hasa katika miaka ya hivi karibuni. Ni muhimu kwamba waamuzi na viongozi wanaochaguliwa watakapokuwa kwenye madaraka waweze kushughulikia masuala haya kwa umakini.
Kwa hivyo, ninakubaliana na wito wenu kwamba vijana wasomi wanaoishi mitaani wanapaswa kuchagua viongozi watakaoweza kutatua changamoto hizi.
Katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa, ni vyema vijana kutafuta wagombea ambao wana sifa na uzoefu wa kushughulikia masuala ya ajira na maendeleo ya kiuchumi kwa vijana.
Aidha, ninakubaliana na pendekezo lenu la kuwa waamuzi wanapaswa kuwa na elimu ya chini ya Kidato cha Nne. Hii itasaidia kuhakikisha kuwa wao wana uwezo wa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
Pia, hii itasaidia kupunguza kiwango cha uchawa katika siasa zetu za mitaa na kitaifa.
Vijana wasomi, kundi lako lina jukumu muhimu katika mchakato huu. Tunakuhimiza kuendelea kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huu na katika mambo ya kisiasa kwa ujumla. Sauti zenu ni muhimu katika kuunda mustakabali wetu kama nchi.
Tukatae ujinga huuu unapewa 50k unateseka miaka.Kweli kabisa, na ccm wanajua hilo na ndiyo maana wanafanya watakavyo. Wanajua kipindi cha uchaguzi watamwaga hela, tutasahau. Tujifunze kwa Afrika kusini, uchaguzi huu uliopita.
Hakika ila nguvu ya umma ikiamua inawezekana.Uchaguzi wa serikali za mitaa upinzani ungejikita kwenye mianya ya kuzuia wizi wa kura kuliko hata kupiga kampeni. CCM inajua haiwezi kushinda bila kuiba kura 🤔
Tukatae ujinga huuungoja tuwape rushwa tuwakate ulimi😁😁
Fikra hasi tunakosa maono ya mbali tubadilike.Bantu....Binadamu tumeumbwa kusahau, imagine na SHIDA zote mtu anazopitia, ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira n.k lakini wanasiasa wakija kipindi Cha kampeni wakigawa "chenji chenji" zao na kutulisha wali kwa maharagwe, basi huwa tunajisahau kabisa, kuja kushtuka ushapiga kura na uchaguzi umeisha, Mitano tena...!
Hakika,siku zote walikuwa wapi??Pesa wakipewa wapokee,boda Bora wakipewa wapokee ila kura wasiwape walio wapa pesa na boda boda.
Hapo ndio shida tukatae vitu vya namna hiiiUmewashauri vizuri sana, sema wanaweza kupewa mikopo ya chapchap. Huenda hata hizo bodaboda wamepokea, wanasahau mateso yote.
Tuwasihi wabadilike hili taifa ni laoWengi hawajisumbui hata kupiga kura
Naunga mkono hoja tubadilike wamejisahau sanaIssue sio kuiondoaccm madarakani one day. Inatakiwaserikali ya mseto. Upinzani nusu,ccm nusu. Hapo kitaeleweka