cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nenda kwa Diwani wako akupe utaratibu.Hzo boda na Hela wanagawa wap wakuu nikapange foleni nichukue changu mapema ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa Diwani wako akupe utaratibu.Hzo boda na Hela wanagawa wap wakuu nikapange foleni nichukue changu mapema ,
Kama issue si kuondoa CCM madarakani basi chama chenye agenda hiyo si chama cha siasa. Ulivyo ona ANC ya South Africa imegawana madaraka na wapinzani wake akina DA, Inkatha, Freedom party, Good na PA unadhani vilipenda? Walitoka kuchukua Dola ila wameshindwa na kuokolewa na katiba ya nchi yao. Wangekuwa Tanzania wasinge ambulia kitu kwani sisi katiba yetu inasema 'The winner takes all'. Meaning kama wewe umeshinda wenzako hata ukiwa 30% wewe utaunda serikali hata ukiwa na wabunge wachache. Nadhani nimeeleweka mkuu.Issue sio kuiondoaccm madarakani one day. Inatakiwaserikali ya mseto. Upinzani nusu,ccm nusu. Hapo kitaeleweka