Kama issue si kuondoa CCM madarakani basi chama chenye agenda hiyo si chama cha siasa. Ulivyo ona ANC ya South Africa imegawana madaraka na wapinzani wake akina DA, Inkatha, Freedom party, Good na PA unadhani vilipenda? Walitoka kuchukua Dola ila wameshindwa na kuokolewa na katiba ya nchi yao. Wangekuwa Tanzania wasinge ambulia kitu kwani sisi katiba yetu inasema 'The winner takes all'. Meaning kama wewe umeshinda wenzako hata ukiwa 30% wewe utaunda serikali hata ukiwa na wabunge wachache. Nadhani nimeeleweka mkuu.