Vijana wasomi msio na ajira maisha hayapo Bongo tu. Unaweza kuzamia nchi jirani ukaishi vizuri. Dunia yote ya Mola mipaka ipo ili kuleta utulivu

Wanasheria wa Tanzania waende Msumbiji kufanya nini ama kuosha vyombo?
Botswana Kuna uhutaji mkubwa sana wa madaktari na walimu, lkn husikii hata balozi zetu zikiweka Utaratibu wa kuuwezesha wahitimu kwenda kuchukua kazi huko. Nadhani wanaogopa lawama, kwasabb wanafahamu kuwa elimu yetu inatotoa wahitimu ambao ni half cooked.
 
Msumbiji kuna kazi gani za sheria?
 
TUSIJE TUKAKULAUMU USICHO KIJUA .USIWADANGANYE VIJANA
 
Hacheni bhasi dharau😁
 
sisi ma administrator twende wapi?
 
A
Kwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodi alikua anakwepa huyo

Kwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodi
Alikua anakwepa kodi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…