Hawa hawa walimu wanaofundisha kiingereza kwa kiswahili?Even the teachers of English language?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hawa walimu wanaofundisha kiingereza kwa kiswahili?Even the teachers of English language?
Botswana Kuna uhutaji mkubwa sana wa madaktari na walimu, lkn husikii hata balozi zetu zikiweka Utaratibu wa kuuwezesha wahitimu kwenda kuchukua kazi huko. Nadhani wanaogopa lawama, kwasabb wanafahamu kuwa elimu yetu inatotoa wahitimu ambao ni half cooked.Wanasheria wa Tanzania waende Msumbiji kufanya nini ama kuosha vyombo?
Msumbiji kuna kazi gani za sheria?Hello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine nendeni Gado(Msumbiji) kuna fursa kedekede, Msumbiji kuna amani kwa 98 %, ni sehemu ndogo tu ndio iko hovyo baada ya IS kuweka kambi.
Kuna Angola maisha yako njema.
Botswana pesa nje nje.
Siwashauri muende huko Ng'ambo kwa wazungu ambako kuna upweke mkubwa.
Fundi yeyote nenda Angola utanishukuru.
Daktari, muuguzi, watu wa maabara n k nendeni Botswana.
Wanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Wafanyabishara nendeni Zambia.
Wahandisi nendeni South Africa.
Ahahaha 😭 😭 😭 😭 😭Hawa hawa walimu wanaofundisha kiingereza kwa kiswahili?
kwani mwalimu sio msomi mkuu
Bora hapa hapa nyumbani kuna ahueniZambia walivyochoka kimaisha, bora nibakie zangu bongo tu
wee nimwalimu msomi🤣🤣🤣🤣🤣
TUSIJE TUKAKULAUMU USICHO KIJUA .USIWADANGANYE VIJANAHello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine nendeni Gado(Msumbiji) kuna fursa kedekede, Msumbiji kuna amani kwa 98 %, ni sehemu ndogo tu ndio iko hovyo baada ya IS kuweka kambi.
Kuna Angola maisha yako njema.
Botswana pesa nje nje.
Siwashauri muende huko Ng'ambo kwa wazungu ambako kuna upweke mkubwa.
Fundi yeyote nenda Angola utanishukuru.
Daktari, muuguzi, watu wa maabara n k nendeni Botswana.
Wanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Wafanyabishara nendeni Zambia.
Wahandisi nendeni South Africa.
Kwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodiBiashara gani
Hiyo ni congoKwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodi
Anae tuambia kumbe nae kaambiwa.Kwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini.
Akikufundisha kwa kiingereza uwezi kuelewa.Hawa hawa walimu wanaofundisha kiingereza kwa kiswahili?
Hacheni bhasi dharau😁Botswana Kuna uhutaji mkubwa sana wa madaktari na walimu, lkn husikii hata balozi zetu zikiweka Utaratibu wa kuuwezesha wahitimu kwenda kuchukua kazi huko. Nadhani wanaogopa lawama, kwasabb wanafahamu kuwa elimu yetu inatotoa wahitimu ambao ni half cooked.
sisi ma administrator twende wapi?Hello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine nendeni Gado(Msumbiji) kuna fursa kedekede, Msumbiji kuna amani kwa 98 %, ni sehemu ndogo tu ndio iko hovyo baada ya IS kuweka kambi.
Kuna Angola maisha yako njema.
Botswana pesa nje nje.
Siwashauri muende huko Ng'ambo kwa wazungu ambako kuna upweke mkubwa.
Fundi yeyote nenda Angola utanishukuru.
Daktari, muuguzi, watu wa maabara n k nendeni Botswana.
Wanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Wafanyabishara nendeni Zambia.
Wahandisi nendeni South Africa.
Kwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodi alikua anakwepa huyo
Alikua anakwepa kodi huyoKwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodi