Vijana wasomi msio na ajira maisha hayapo Bongo tu. Unaweza kuzamia nchi jirani ukaishi vizuri. Dunia yote ya Mola mipaka ipo ili kuleta utulivu

Zambia ina watanzania wengi sana sehemu nyeti. Tatizo wengi wao wamebadili majina ili kupata kadi za uraia kirahisi.. wenyewe wanaita NRC. Lakini fresh tu kwasababu ni mojawapo ya mihangaiko maishani. Zambia ukiwa mtulivu na ishu zako husumbuliwi na maisha yatakunyookea
 
Kwahiyo ni kama Tanzania tu? Maana mgeni yoyote akija Tanzania akiwa na mishe zake anakaa fresh tu unaweza usijue kama sio mtanzania.
 
Umeongea kitu nimekipemda, na hiv sasa ni muda nimekua nikiwaza.
Sema mimi udhaifu wangu mkubwa ni family, yan nikiwaza tu kukaa mbali na madogo dah!! Moyo unakua mdogo kabisa.
ILa mwaka huu nitajaribu japo kuanza kutoka kwa muda na kurudi.
 
Kwahiyo ni kama Tanzania tu? Maana mgeni yoyote akija Tanzania akiwa na mishe zake anakaa fresh tu unaweza usijue kama sio mtanzaia.
Yes. Ila wengi utakuta wamebadili majina. Mtu anaitwa Mohamed Hussein ila akiwa Zambia anajiita Moses Banda. Cha muhimu ukiwa ni kujifunza sana lugha yao
 
Kaka kwenye hiyo project inabidi tuwe wote, binafsi natamani sana kutoka maana maisha ni popote.
Umeongea kitu nimekipemda, na hiv sasa ni muda nimekua nikiwaza.
Sema mimi udhaifu wangu mkubwa ni family, yan nikiwaza tu kukaa mbali na madogo dah!! Moyo unakua mdogo kabisa.
ILa mwaka huu nitajaribu japo kuanza kutoka kwa muda na kurudi.
 
Lugha vipi ni rahisi kujifunza? Vipi kuhusu fursa, kuna fursa gani huko?
Kama unajua kiingereza vizuri utaishi fresh huku ukijifunza taratibu kinyanja na kibemba. Hizo lugha mbili zinashea maneno mengi sana na kiswahili hasa kinyanja. Mimi naona Zambia iko nyuma karibu kila kitu kulinganisha na Tanzania. Kwenye masoko ya Lusaka wamejaa sana wabongo.
 
βœοΈπŸ“πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Wewe upo Zambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…