Vijana wasomi msio na ajira maisha hayapo Bongo tu. Unaweza kuzamia nchi jirani ukaishi vizuri. Dunia yote ya Mola mipaka ipo ili kuleta utulivu

Alikua hataki kufanya kazi na wewe😁Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki
Hapana. Huyo dogo ni rafiki yangu hata nje ya biashara. Na ni kweli kwa alichokuwa ananiambia.
 
Na sisi tusio na elimu twende wapi?🥹🥹
Kuna watu nawafahamu hawana elimu zaidi ya darasa la 7 wao walizamia msumbiji wakawa wanachukua vitu mbalimbali kkoo km simu,vyombo vya ndani,jinsi chaja za simu wakawa wanaenda nazo kule walijunza kila kitu hukohuko wamejenga majumba 2 Dar za vyumba 8 kl moja moja wamepangisha nzima nyingine upande mmoja ili wakiwa wanarejea wapate pakuishi
Mwingjne anapeleka vyombo vya ndani malawi so it’s your choice km unataka ukawe karani wa mwenzio or utafute hela na kua karani mwenyewe
 
Waanze kwanza kwa kuzamia DAR ES SALAAM
 
Huwa najutia sana wakati ule napata fursa za kwenda nje nazikataa kisa najiona mzalendo eti naipenda nchi yangu nitapambana hapa hapa.

Kumbe...

Aisee wewe Acha tu....

Mtu ukipata nafasi ya kwenda nje ya nchi nenda tu.

Kubakia hapa utaishia kuwa chawa wa wenye nchi ambao wao na familia zao tayari wameshajihakikishia maisha.
 
Vijana kabla hamjafika 40s msiache fursa ya biashara Malawi,Zambia,Congo. Msiache hio fursa,kama unaweza kufanya biashara Tz na unapata hela tanua wigo nje ya nchi.
 
Hao jamaa zako inabidi uniunganishe nao mkuu.
 
Yaani ukose maisha hapa Tanzania utegemee nje yake na ndani mwa Africa ambako ukilinganisha basi Tanzania ni paradise? Nah!
 
Wakatisha tamaa ni wale hata kupanda basi kwenda mkoani hajawahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…