Hapana. Huyo dogo ni rafiki yangu hata nje ya biashara. Na ni kweli kwa alichokuwa ananiambia.Alikua hataki kufanya kazi na wewe😁Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Huyo dogo ni rafiki yangu hata nje ya biashara. Na ni kweli kwa alichokuwa ananiambia.Alikua hataki kufanya kazi na wewe😁Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki
Labda iwe hvoHapana. Huyo dogo ni rafiki yangu hata nje ya biashara. Na ni kweli kwa alichokuwa ananiambia.
Kuna watu nawafahamu hawana elimu zaidi ya darasa la 7 wao walizamia msumbiji wakawa wanachukua vitu mbalimbali kkoo km simu,vyombo vya ndani,jinsi chaja za simu wakawa wanaenda nazo kule walijunza kila kitu hukohuko wamejenga majumba 2 Dar za vyumba 8 kl moja moja wamepangisha nzima nyingine upande mmoja ili wakiwa wanarejea wapate pakuishiNa sisi tusio na elimu twende wapi?🥹🥹

Biashara Zambia bila kujua Kimombo itawezekana?Mkafanye biashara Zambia
Zambia hawana kimombo kikali sana.. cha kuombea maji tu kinatosha. Kuna wamasai kibao wanauza sandals na kusuka nywele.Biashara Zambia bila kujua Kimombo itawezekana?
Waanze kwanza kwa kuzamia DAR ES SALAAMHello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine nendeni Gado(Msumbiji) kuna fursa kedekede, Msumbiji kuna amani kwa 98 %, ni sehemu ndogo tu ndio iko hovyo baada ya IS kuweka kambi.
Kuna Angola maisha yako njema.
Botswana pesa nje nje.
Siwashauri muende huko Ng'ambo kwa wazungu ambako kuna upweke mkubwa.
Fundi yeyote nenda Angola utanishukuru.
Daktari, muuguzi, watu wa maabara n k nendeni Botswana.
Wanasheria , walimu nendeni Msumbiji.
Wafanyabishara nendeni Zambia.
Wahandisi nendeni South Africa.
Vijana kabla hamjafika 40s msiache fursa ya biashara Malawi,Zambia,Congo. Msiache hio fursa,kama unaweza kufanya biashara Tz na unapata hela tanua wigo nje ya nchi.Kuna watu nawafahamu hawana elimu zaidi ya darasa la 7 wao walizamia msumbiji wakawa wanachukua vitu mbalimbali kkoo km simu,vyombo vya ndani,jinsi chaja za simu wakawa wanaenda nazo kule walijunza kila kitu hukohuko wamejenga majumba 2 Dar za vyumba 8 kl moja moja wamepangisha nzima nyingine upande mmoja ili wakiwa wanarejea wapate pakuishi
Mwingjne anapeleka vyombo vya ndani malawi so it’s your choice km unataka ukawe karani wa mwenzio or utafute hela na kua karani mwenyewe
Pana jamaa angu anatoa Unga hapo Sumbawanga anapeleka Congo hapo Kasumbalesa anauza 30 usd kwa 25kg ila Wakongo wanataka unga ulio na chenga chenga sio kama wa huku kwetu tunasaga unakua Unga kabisaa...hii ni ya juzi maana nilikua nae pale Kapiri Mposhi kabla sijaanza safari ya kurudi Tanzania wao walikua wanapeleka Sembe DRC..
Kwani zilipotea?Ukatafute pesa