Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.Gabriel Boric on the Chilean Student Movement:
59,554Views :2017 14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:
Department of Public Policy at CEU
Njoo usome mijadala yenye tija kwa wewe Chawa wa Mama na ***** la Mbunge Lucas Mwashambwa22 June 2025
Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
=============================
- Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
- Kutiki October 2025
- No Reforms No Election
- Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
- Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
- Bunge la Dodoma lamulikwa
- Umuhimu wa elimu zaidi ya kusoma na kuandika kwa wawakilishi / viongozi wa kisiasa, maana dunia imebadilika
- Utamaduni sasa ni UCHAWA
- Jamii kwa sasa imeshindwa kuchambua mambo ya msingi, na hili hasi ipo hadi bungeni
- Masikitiko juu ya kundi la No Reforms No Election limenyimwa sauti kwa kila mbinu
- Kura ya mpiga kura haifahamiki kama kweli itafanya matarajio ya mpiga mkura
- Takwimu za UNICEF 70% ni vijana lakini bajeti ya taifa iliyosomwa 2025 haiendi kumgusa kijana ktk hali chanya mfano imepunguza vinywaji kama pombe, energy drinks
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.
“Mbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,” amesema.
Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.
“Haiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,” amesisitiza.
Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.
Hawa ni watoto wadogo sana, hawawezi kuwa wanajua mambo ya hii nchi kumzidi Mzee Stephen Wasira, hivyo wapuuzwe
Kauli ya Angasi Robert Okechi ni ya msingi na ya kuchochea fikra. Ameonyesha upeo wa hali ya juu kwa kutambua kwamba Bunge linapaswa kuwa jukwaa la fikra pana na mipango ya maendeleo ya muda mrefu, si mahali pa siasa za kimaslahi binafsi. Huu ni mwito kwa viongozi wetu kuweka mbele maslahi ya taifa na kujifunza kutoka kwa mifumo ya nchi zilizoendelea. Vijana kama Angasi wanapaswa kuungwa mkono kwani wanawakilisha kizazi kinachotamani mabadiliko ya kweli na maendeleo ya kimfumo.
No reform no election22 June 2025
Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k
=============================
- Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali
- Kutiki October 2025
- No Reforms No Election
- Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki
- Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100%
- Bunge la Dodoma lamulikwa
- Umuhimu wa elimu zaidi ya kusoma na kuandika kwa wawakilishi / viongozi wa kisiasa, maana dunia imebadilika
- Utamaduni sasa ni UCHAWA
- Jamii kwa sasa imeshindwa kuchambua mambo ya msingi, na hili hasi ipo hadi bungeni
- Masikitiko juu ya kundi la No Reforms No Election limenyimwa sauti kwa kila mbinu
- Kura ya mpiga kura haifahamiki kama kweli itafanya matarajio ya mpiga mkura
- Takwimu za UNICEF 70% ni vijana lakini bajeti ya taifa iliyosomwa 2025 haiendi kumgusa kijana ktk hali chanya mfano imepunguza vinywaji kama pombe, energy drinks
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza leo Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam, mbele ya wanahabari, Angasi amesema tofauti na mataifa mengine, hapa nchini baadhi ya wabunge huingia bungeni kwa lengo la kupanga mbinu za kisiasa zitakazowarejesha madarakani ifikapo mwaka , badala ya kujadili masuala ya msingi ya maendeleo.
“Mbunge anatakiwa aingie bungeni kuwasemea wananchi wake kwa maslahi mapana ya nchi. Lazima awe na uwezo wa kuandaa mpango mkakati na kuupeleka bungeni ili utungwe sheria zenye manufaa kwa wananchi,” amesema.
Aidha, Angasi amekosoa tabia ya kuchagua wabunge kwa misingi ya umaarufu au uwezo wa kifedha bila kuzingatia elimu na uelewa wa masuala ya kisheria na kiuchumi.
“Haiwezekani mtu mwenye elimu ya darasa la saba, kwa sababu tu anajua kusoma na kuandika, anazo fedha na anajua kuzungumza vizuri, apewe jukumu la kutunga sheria za kuongoza taifa. Bunge ni chombo nyeti kinachopaswa kuwa na watu makini,” amesisitiza.
Angasi amehimiza Watanzania kuwaamini vijana waliobobea kutoka vyuo vikuu na vyuo vya kati, kwa kuwa wanaweza kuibua mipango madhubuti ya kulisaidia taifa kwa nguvu na maarifa yao.
Sasa nimuulize huyu mwanafunzi ni nani anamchagua huyu darasa la saba? Au mtu asiyejiweza? Na kwa nini wasomi wengi hawajitokezi kuchaguliwa? Au wasomi wengi hawajui kujieleza? Na ukisema fedha kwa nini darasa la saba wana pesa na wasomi hawana pesa? Tatizo kubwa ni watu Weusi, miafrika22 June 2025