Vijana Watafuta Kadi za Uanachama wa CCM Kama Dhahabu

Hao vijana watakuwa hawana akili bila shaka.
Vijana wanaojitambua kwa Sasa wanakimbilia ofisi za CCM kuchukua kadi za Uanachama na kuwaacha wale wa chadema kule wabaki wanatukana mimatusi utafikiri watu waliokosa malezi Bora ya wazazi
 
Vijana wenye akili wanajiunga na CCM kutokana na ubora wa Sera na ajenda zake zinazogusa maisha Yao na siyo kusaka fursa za ajira
 
Kesho nitakuteua kuwa RC. Sawa mtoto mtiifu?! Juzi kwenye UDCnilipitiwa kidogo, ingawa niliowateua walikuwa na umuhimu zaidi kuliko wewe. Tehe tehe tehe.
 
Vijana wasojitambua hao .

Wanasiasa wanasema wajiajiri na wanapojiajiri wanakutana na vikwazo lukuki mfano mwepesi tu kwa freelancers huduma ya Paypal sio kamilifu kwa mtu aishiye Tanzania.

Hata cryptocurrencies zimewekewa mizengwe ya kutosha na BOT yaani kila kijana akijaribu kupiga hatua anarudishwa nyuma kwa hofu eti atatakatisha pesa au kuhujumu uchumi.

Hao ni vijana waliokuwa staged kwa igizo la kuchukua kadi ila kijana hustler kwa Tanzania hawezi kuhangaika na hicho chama chenu kugombea kadi.
 
Yap mimi nimeichukua nishaajiriwa kitambo,nilikuwa nafukuzia fursa tu
 
Reactions: Exy
Tuacheni uongo kila mtu anajua vijana wa siku hizi walivyo wavivu. Hivi kuna vijana kizazi hiki wa kwenda kutafuta card wakati wengi hawajitambui🤔
 
Kuna mtu anamsomesha mtoto wake ualimu au kada yoyote ili aje aingie kwenye vijibarua vya kwenye miradi,eti ajiraajira.
 
Kuna mtu anamsomesha mtoto wake ualimu au kada yoyote ili aje aingie kwenye vijibarua vya kwenye miradi,eti ajiraajira.
 
La maana ulilofanya ni kuweka namba yako ya simu ili ukibahatika uingizwe kwenye jumuia ya chawa ila umeandika upupu.
Hao vijana unaowaelezea ni wa mtaani kwenu?
Kila kijana aliyechukua kadi alikuwa anakuja kwako kukuelezea sababu zilizomfanya kuchukua kadi?
 
We kijana nikushauri, mada zako jaribu kukosoa pamoja na kushauri pale inapostahili, na si kupongeza tu! Mbaya zaidi unaweka hadi namba ya simu kwaajili ya nini? Watu ni lazima wahoji lengo lako la kuweka namba ya simu ninini?? Vijana tujitahidi kufanya kazi ili tupate kipato chetu halali. Mfano mimi ndo ningekuwa mteuaji wewe unayenisifia na kuniwekea namba ya simu baada ya kumaliza kunisifia nisinge kuteua kwani tayari nakuwa nimesha fahamu lengo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…