Vijana Watafuta Kadi za Uanachama wa CCM Kama Dhahabu

Kwani Nani kakuzuia wewe kufanya kazi ya kukosoa unayoitaka niifanye Mimi kwa niaba yako, Mimi naziona juhudi za serikali ya Rais Samia katika kuwatumikia watanzania kwa uzalendo na uchapa kazi ,Naona serikali inavyowahudumia na kuwapa huduma Bora watanzania,Naona inavyopambana kishupavu kwa kila changamoto ijitokezayo mbele yetu Kama Taifa,Ndio sababu ya kuipongeza muda wote kwani dhamira ya serikali na Rais wetu Ni njema
 
Moja ya vitu namshukuru Mungu daima, kwanza ni kuniumba mwanaume, pili ni kunipa akili ya kutokuwa mwana CCM.
 
Kama Walishindwa kuzitafuta wakati wa MTETEZI wao MAGUFULI hawawezi kuzitafuta leo KARIAKOO WAMEFUKUZWA MITAANI kila MKOA VIBANDA VYAO VIMEVUNJWA wamekuwa WAZURURAJI ACHA KUDANGANYA WATU WADANGANYE WAJINGA WENZIO
 
Hayo niliyoyaandika hapo juu ndio imekuwa sababu iliyowapa hamasa vijana wengi Sana kujiunga CCM
 
Kama Walishindwa kuzitafuta wakati wa MTETEZI wao MAGUFULI hawawezi kuzitafuta leo KARIAKOO WAMEFUKUZWA MITAANI kila MKOA VIBANDA VYAO VIMEVUNJWA wamekuwa WAZURURAJI ACHA KUDANGANYA WATU WADANGANYE WAJINGA WENZIO
Hakuna walikofukuzwa vijana Bali serikali yao imeendelea kuwa karibu nao na kuwasaidia,imewawekea mazingira mazuri ya kibiashara kwa kuwatengea maeneo makubwa,yanayofikika na wateja na yenye usalama mzuri tofauti na awali ambapo ilikuwa hatari kwa usalama Wao hasa kwa ajali za magari ,kwa kuwa walikuwa wanapanga bidhàa zao Hadi Barabarani.

Pili serikali imewawezesha vijana mitaji kupitia halmashauri zao na kuwapatia Elimu ya ujasiriamali na kuwasaidia katika kutimiza vigezo vya kupata mikopo
 

 
Mpaka mmefikia kukarabati kivuko kwa hera inayolingana na kununua mpya,hamna tofauti na machizi
 
Mpaka mmefikia kukarabati kivuko kwa hera inayolingana na kununua mpya,hamna tofauti na machizi
Serikali ya Rais Samia Ina macho yaonayo kila eneo na kufika kila sehemu,hivyo popote palipo na ufisadi na dalili za Rushwa itafika na kuchukua hatua, watanzania tuna imani na Rais wetu mpendwa mama Samia na Tunaamini nchi IPO katika mikono salama
 
Acha kudanganya watu. Kwa Sasa vijana wengi wamechoka, hivyo Kama Kuna fursa CCM wanaenda.
 
Serikali ya Rais Samia Ina macho yaonayo kila eneo na kufika kila sehemu,hivyo popote palipo na ufisadi na dalili za Rushwa itafika na kuchukua hatua, watanzania tuna imani na Rais wetu mpendwa mama Samia na Tunaamini nchi IPO katika mikono salama

Wewe ulistahili kuwa kwenye kundi la chawa wa mama na akina suphian.
 
Acha kudanganya watu. Kwa Sasa vijana wengi wamechoka, hivyo Kama Kuna fursa CCM wanaenda.
Vijana wametambua kuwa CCM ndio chama chenye Sera na ajenda zinazoendana na mahitaji Yao na ni mahali wanapoweza kutimiza Ndoto zao kutokana na CCM kutoa kipaombele na kuwapa nafasi vijana ya kukuza na kufikia ndoto zao ,mfano CCM inawasaidia vijana kujiajiri kwa kuwapatia Elimu ya ujasiriamali na kuwapa njia ya kupata mikopo Kama vile kupitia halmashauri zao na hatua za kufuata kupata mikopo
 
Shida humfanya mtu amtumikie mwingine yeyote yule hata asiye mtaka. Ukweli ni kuwa vijana wengi kwa sasa wanapitia changamoto nyingi sana za kiuchumi na kijamii ikiwemo suala la ajira.

Kwa hiyo kimbilio lililo karibu yao la kimwili ni kumfuata Ibilisi, ingawaje wanatambua kuwa mbingu ndiyo chaguo lao sahihi na la kudumu la kimwili na kiroho pia. Kumiliki kwao kadi za CCM na kutaka kujionyesha katika wasifu wao binafsi wa uanachama wa hiari katika vyama vya kijamii, ni namna nyingine tu ya kusaka fursa, ingawaje hii haithibitishi mapenzi yao ya dhati kwa chama hiki kikongwe na chakavu.

Wewe subiri tu matokeo ya chaguzi za 2023 na 2025, endapo Mola atatujalia pumzi ya kuishi na pia kuwa mashuhuda, hapo ndipo utatambua lile lililopo mioyoni mwao na kwa namna gani vijana wanakiunga chama hiki mkono. Endapo tutakuwa na "uchaguzi" huru badala ya "uchafuzi" wa kihuni wa watala, basi ukweli wote utajulikana.
 
Vijana kwa wingi wao wanajiunga na wanaendelea kujiunga CCM kwa hiyari Yao kutokana na kuvutiwa na Sera na ajenda za CCM zinazogusa maisha Yao, ilani Bora ya CCM inayoandaliwa na manguli kutoka sect la zote na kufanyiwa utafiti wa kina unaokuja na majibu ya Mahitaji ya makundi yote imepelekea vijana wengi Sana Kuendelea kumiminika ndani ya CCM kila uchwao ,
 
Sio wote wanachukua kadi kwa hiari, ukiachilia mbali suala la kuchukua kadi kwa fursa na maslahi binafsi.
Kwa sasa kupata kadi kuna namna tatu au zaidi, nitaelezea mbili zisizo za hiari au kizalendo.
1.Kuchukua kadi ili upate nafasi, cheo, au wadhfa fulani, hili linaangukia kwenye kundi kubwa la vijana ili kupata maslahi yao binafsi kutokana na hali ngumu ya kiuchumi inayoikumba nchi yetu.
2.Kupewa kadi kwa shinikizo au kulazimishwa, mmefika mahali mna force kuwapa watu kadi bila idhini wala uhitaji wao.
Najua utakataa tu na hili, maana nimesoma maoni mengi uliyoandikiwa hapa umeshupaza shingo hautaki kusikia ( nawajua sana ).
Sasa nakuuliza swali na ujijibu mwenyewe, kwenye jamii zetu kuna watu ni wanufaika wa mpango wa kuwainua kiuchumi ( tunaujua sote ), kuna shughuli wanapewa za kufanya ili kusaidia kama kulima na kukwetua nyasi kwenye barabara za vumbi mitaani ( sijui kama huu mpango upo mikoa yote ), sasa watu tunashangaa kuona uandikishaji wa kadi kwa hao watu bila uhitaji wao. Kuna wanafaika ni wazee, wasiojiweza, au wagonjwa, hivyo wanawaagiza watoto au ndugu zao wanaoweza kufanya kazi kwenye shughuli hizo wanashangaa kukutana na mambo hayo ya lazima, sasa kijana wa miaka 18+ ukamlazimishe kadi anapeleka wapi?, huo ndio uzalendo wa vijana kuzitafuta kadi kama dhahabu?,
Mpenda Haki na Uzalendo wa kweli.
 
Kuna Taasisi fulani nilikuwaga nipo nipo kipindi cha jiwe nikashuhudia kitu kama fomu inapita kwa wanafisiemu tuu wanaweka details zao.
Baada ya muda walipanda vyeo wote...na aliekua anapitisha alikua anatamba kabisa...kama wewe sio fisiemu hii haikuhusu!;
 
CCM ipi Sasa ya magufuri au hii ya Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…