Vijana wavuta bangi wanaongezeka, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu,

Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.

Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini

Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.

Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk

Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?

Karibuni
 
Jana jioni nimepita sehemu nikakuta vijana wadogo kama watano hivi wanavuta bangi bila hofu. Sikuwasemesha kitu, nikawapita kimyakimya kujiepusha na shari endapo ningewasemesha wangeanza kuniletea kasheshe kwa ulevi wao wa bangi
 
Jana nilikuwa nalima majani na nyasi zilizoota hovyohovyo kuzunguka nyumba. Nikaona miche ya bangi imeota sambamba na majani mengine. Kumbe wavuta bangi walindondosha mbengu eneo hilo, nikaona isije kuwa taabu nikaing'oa
 
Hiki kizazi ni kizazi cha nyoka. Watoto wamezaliwa na kulelewa na Masingo Maza ndio tatizo lilipoanzi.

Kijana unamrubuni msichana unamjaza mimba unakimbia kwanini katoto kasiwe kashetani?

Kuna tofauti ya malezi yasio na usimamizi wa Baba.

Baba ni mtu muhimu sana kwenye malezi ya watoto. Wamama wameshindwa kabisa eneo la malezi ya watoto ndio chanzo cha kizazi hiki tunachokiona.
 
Bangi haina shida, mi mabraza ambao nilianza kuvuta kwa kuwaona wao wanavuta walikua ni watu smart sana. Wana kazi za kueleweka, kipato cha uhakika gingi anavuta kwa starehe, ila machalii siku hizi wanavuta kwa hasira mana wanaipelekea stress zao za mapenzi, kukosa kazi n.k lazima wachanganyikiwe. Mi hata nikitaka mzigo namcheki tu sadali aniwekee stock ya kutosha hata ya 20k nikifika ni kuchukua na kupita hv hapo tuonane tena mpaka iishe, mazoea nao sitaki.
 
Wakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.

Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini

Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.

Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk

Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?

Karibuni
Kwa nini huwa hawavuti ndani ya vyumba vya Hotel kama Hayat
 
Kwa nini huwa hawavuti ndani ya vyumba vya Hotel kama Hayat,,

unnamed.jpg
 
Back
Top Bottom