holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.
Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini
Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.
Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk
Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?
Karibuni