Vijana wavuta bangi wanaongezeka, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

Sasa kwa nini hutaki mazoea nao?
 
Sio hoja! Uvute bangi halafu usumbue wengine? Huo ni upumbavu, vijana wengi wavuta bangi ni kero kwa wengine. Smoke at your own luxury
 
Sina hiyo twakwimu
pombe ni burudani mkuu,ila bangi always huathiri mfumo mzima wa ubongo hivyo kupelekea mtu kuwa mraibu wa matumizi haya,mtu akiwa mraibu wa bangi, kwanza atatumia muda mwing kutafta hela kwa ajir ya bangi,akikosa anakuibia,vijana wakiwa hvyo nguv kaz ya taifa inapungua na vifo vingi vinatokea kutokana na matumiz haya ya bang
 

Tell dem man.
 
Wizi wa panya road hauna mauhusiano na Bangi sera mbovu za serikali ndo janga kuliko bangi
 
insikitisha zaidi siku hizi hata watoto wa kike imekuwa ndio ishu zao
 
Jana jioni nimepita sehemu nikakuta vijana wadogo kama watano hivi wanavuta bangi bila hofu. Sikuwasemesha kitu, nikawapita kimyakimya kujiepusha na shari endapo ningewasemesha wangeanza kuniletea kasheshe kwa ulevi wao wa bangi
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Ulimsikia rais wa Colombia anasema wa legalise tu cocain
Maana whisky pombe ni mbaya kuliko cocain

Ova
 
Bangi sio mbaya Bangi ni tiba.. Bangi ndio kitu pekee kinacho weza kumuamsha yule mtu wako wa ndani....

Wasanii, wanasiasa,wachezaji, wafanyabiashara, wavuvi,wakulima, innovator wengi wanatumia Bangi (kaya) kufanya ubongo wao kua fasta fasta kwenye kutenda kuchakata taarifa.

Bangi huifanya akili ya mwanadamu ipate utulivu wa kutosha hata hao kina Mukwala,dube, mutale wakipiga pafu watatuliza kichwa wakiwa uwanjani..Bangi huleta kujiamini (confidence) ndio maana SERIKALI hairuhusu Bangi ikitumika vyema Ina tabia ya kumfanya mtu ajitambue humwamsha mtu na kufungua JICHO LA TATU (consciousness, awareness)
 
We unakuweje mraibu wa bang?
Bangi Haina addiction shida ni pale wanapochanganya na mavitu mengine.

Bangi ni booster ya kimwili na kiroho ukiona unavuta bang unafanya ujinga jua huo ndio uwalisia wako ama ndio unachokiwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…