Vijana wazuiwa kujiunga na Shirika la Serikali kwa kuwa na Tattoo

Ndio sijakataa, jambo la kuajiri mtu tunaangalia uwezo na sio muonekano, ila hapa nazungumzia suala la first impression kwa kuangalia muonekano ambao wengi wetu tunafanya.
 
Huwezi kujichora tattoo ukawa na akili, lazima kuna mapungufu fulani unayo
 
Tuache hivi hivi endelea na Uraia pacha pacha wako. Yaani kwa Afrika hayo mambo hatutaki.

Angalia kwa mfano huyu Tim Cooks, CEO wa Apple/ iPhone. Ni shoga halafu worse enough amejitangaza kuwa anapandwa na midume mingine.

Haijalishi ana akili kiasi gani cha kubuni mifumo lakini kitendo cha kuwa BWABWA hakikubaliki kwenye mzingirq ya Afrika
 
Ndio sijakataa, jambo la kuajiri mtu tunaangalia uwezo na sio muonekano, ila hapa nazungumzia suala la first impression kwa kuangalia muonekano ambao wengi wetu tunafanya.
Hata hiyo first impression ni concept shallow, hutakiwi kum judge mtu kwa first impression.
 
Huwezi kujichora tattoo ukawa na akili, lazima kuna mapungufu fulani unayo
Hii ni moja ya sababu Afrika inabaki kuwa masikini.

Mnaangalia sana muonekano wa nje kuliko undani wa mtu.

Majambazi yakishawajulia hivyo, yanavaa suti nzuri yote na kuwaibia yanavyotaka huku mnayapigia makofi.
 
Mkuu,

Acha kutumia Apple, acha kutumia hata internet, ineanzishwa na Wamarekani.

Toka kwenye internet ya Wamarekani anzisha yako ya mabua na vifuu, nitakuona wa maana sana.

Hapa unachofanya ni habari ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
 
Huwezi kujichora tattoo ukawa na akili, lazima kuna mapungufu fulani unayo
Mkuu Stuxnet.

Unatafsiri vipi neno ā€œakiliā€

Ili tujue kama kuna watu ambao wana tattoo na kweli hawana akili?
 
Mkuu,

Acha kutumia Apple, acha kutumia hata internet, ineanzishwa na Wamarekani.

Toka kwenye internet ya Wamarekani anzisha yako ya mabua na vifuu, nitakuona wa maana sana.

Hapa unachofanya ni habari ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Aliyeanzisha Internet hakuwa shoga kama Tim Cook. Situmii iPhone kamwe
 
Aliyeanzisha Internet hakuwa shoga kama Tim Cook. Situmii iPhone kamwe
Si umejinadi wewe Muafrika hutaki mambo ya kigeni?

Anzisha internet yako ya mabua uiendeshe kwa nishati ya togwa tukujue wewe kweli Muafrika hutaki mambo ya kigeni.

Na walioanzisha internet wako mashoga kibao kina Alan Turing huko. Kila unapotumia encryption kwenye internet unatumia teknolojia akiyoianzisha Alan Turing. Acha kutumia internet basi tukujue kweli hupendi mashoga.
 
Nchi nyingi za kiafrica na nizungumzie hasa hapa kwetu Tanzania tuliathiriwa sana na usoshalisti. Baada ya uhuru tulipo adopt sera za kikomunisti ndio kila kitu kiliharibika.

Yani watu wana akili zile za tufanane wote.
 
kwa tulipo fikia sasa mkuu cultural interaction haizuiliki tena, kilichobaki sasa ni kuwa timamu wewe na watoto wako nyumbani, maana hata wao wakikua hawakusikilizi tena..,, nimewahi kuachwa hoi na MWANAMKE akiniuliza mboa simuoi na siku zinaenda? ...huku mwili wake una matatoo kiasi, nikaishia kucheka tu kama kichaa....
 
Nchi nyingi za kiafrica na nizungumzie hasa hapa kwetu Tanzania tuliathiriwa sana na usoshalisti. Baada ya uhuru tulipo adopt sera za kikomunisti ndio kila kitu kiliharibika.

Yani watu wana akili zile za tufanane wote.
Na nidhamu ya kinafiki. Ndiyo hii ya kuangalia mtu kwa nje na kuacha kumpima mtu kwa kina.

Wanasiasa wetu waongo wanaijua jamii ilivyo, ndiyo maana wanajua kuichezea kwa maigizo mwanzo mwisho.
 
Huyo mwanamke umemfanyia vibaya.

Kwa sababu yeye anategemea ndoa, wewe unamcheka tu.

Ungemwambia tu wewe huwezi kuoa mwanamke mwenye tattoo.

Yani wewe muongomuongo halafu unaona huo uongouongo wako ni bora kuliko hizo tattoo?

Si ndiyo tunarudi kulekule ku judge muonekano badala ya tabia ya mtu?
 
kwenye matatoo, milegezo, minywele ya hovyo, manguo ya ajabu ajabu, acha tu nirudi kule kule kwenye kum-judge mtu kwa muonekano wake....kwanza kama MWANAMKE akiwa hivyo , kichwani najua kabisa nipo na KAHABA....
 
Sawa, unaruhusiwa kum judge unavyotaka, hiyo ni haki yako.

Lakini kuwa muwazi, mwambie kuwa wewe hutaki kuwa na mwanamke mwenye tattoo.

Usimpotezee muda na lengo lake la ndoa akifikiri unaweza kumuoa wakati wewe unamuona kinyago tu.

Hiyo nayo ni tabia mbaya.
 
Kuna namna ulivyo inatakiwa ujitambue ulivyo juu ya muonekano wako na watu watakakuchukulia,...huwezi kuwa na muonekano wa kikahaba alafu utegemee watu wakuone wife material.... huwezi kuwa na muonekano kama kibaka,panya road alafu utegemee kuwa watu watakuchukulia kama uko timamu.....kwanza aliponiuliza kuhusu NDOA niliona amenidharau sana🄱
 
Sawa. Nimekwambia hivii.

Wewe unaruhusiwa ku judge vyovyote unavyotaka. Hiyo ni haki yako. Hakuna atakayekuingilia hapo.

Post yako ya #39 ni pointless. Kwa sababu mimi nishakwambia una uhuru wa ku judge unavyotaka, hilo halina ubishi. Tatizo lipo kwenye uwazi wako. Weee huja address kabisa point ya uwazi wako, ya wewe kujisa uwazi, unaendelea ku judge tu, kitu ambacho sijakupinga kabisa kwamba una haki ya ku judge.

Judge unavyotaka.

Lakini pia unatakiwa uwe muwazi kwake. Mwambie hutaki kuwa na mtu mwenye tattoo.

Inaonekana hujawa muwazi kwake, unampa matumaini kwamba kuna uwezekano wa kuwapo ndoa, wakati kwenye kichwa chako unamcheka tu na kumuona kahaba mwenye tattoo asiyefaa kuolewa.

Mtendee haki, mwambie wewe hutaki kuwa na mtu mwenye tattoo.

Vinginevyo, wewe utakuwa unamcheka mtu kwa sababu ana tattoo, kitu cha muonekano wa nje tu, wakati wewe una tatizo la kimaadili, tatizo la ndani kabisa, la ulaghai wa kumpa matumaini mtu kwamba inawezekana ukamuoa wakati huna mpango huo.

Hii point umeielewa?

Naona kama unairuka na kusisitiza kuusema vibaya muonekano wa mtu mwenye tattoo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…