Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
- #201
Usiende hospitali ufe mapema,Mawazo Hasi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiende hospitali ufe mapema,Mawazo Hasi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Havina uhusiano hiviTunatishana sana kuna watu wanakunywa na wanapambania maisha yao vizuri na watoto wanasoma vizuri kabisa
Nasaha nzuri yenye ukweli ndani yake.. ila pale kati patamuHabari wanaJF,
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana.
Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara, mifugo, nyumba, nk. Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo. Ukimpigia simu mwenzako, utasikia naumwa kisukari mara huyu, kansa, mara, huyu viungo vimechemka, mara pressure nk.
Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao. Tulikuwa na msemo wa kijinga wa ''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar. Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Ukijiwekeza hapo kati panakuwa patamu zaidi!Nasaha nzuri yenye ukweli ndani yake.. ila pale kati patamu
Ukiwa 50+ (2nd maturity)ukawa umesettle hakika raha sana,vitoto vidogo vinamiminika ushindwe wewe tu kuvila,ni raha namaanisha raha kwelikweli😂😂😂Nimesoma ila acha vijana wale bata hakuna asiejua fainali uzeeni kila mtu ashinde zake
Nyumba hatari sana, ukidondokewa na matofali na kufa je.Kula maisha na hela yako, kesho itajijua yenyeweHabari wanaJF,
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana.
Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara, mifugo, nyumba, nk. Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo. Ukimpigia simu mwenzako, utasikia naumwa kisukari mara huyu, kansa, mara, huyu viungo vimechemka, mara pressure nk.
Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao. Tulikuwa na msemo wa kijinga wa ''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar. Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Kweli kabisa!Ukiwa 50+ (2nd maturity)ukawa umesettle hakika raha sana,vitoto vidogo vinamiminika ushindwe wewe tu kuvila,ni raha namaanisha raha kwelikweli😂😂😂
Mawazo Hasi na Matokeo Huwa Hasi!Badilika.Nyumba hatari sana, ukidondokewa na matofali na kufa je.Kula maisha na hela yako, kesho itajijua yenyewe
🤪Mawazo Hasi na Matokeo Huwa Hasi!Badilika.
Mkuu umefikwa na Jambo gani?Ukizeeka mke atakuwa anakusaidia kwenda chooni, ukiumwa mke atakuwa na wewe bega kwa bega kukufariji mpaka kupona.
Kijana oa, fainali uzeeni
nilikuwa nimelewaMkuu umefikwa na Jambo gani?
Una uhakika?Starehe hazimzuii mtu kuwa na maendeleo
Wakumbuke wasidhulumu kwa maana ukidhulumu haki za watu huendelei ng'oo utaishia kupiga dundo na ka vitz kako ulikonunua kwa pesa za kudhulumu ova.Habari wanaJF,
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana.
Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara, mifugo, nyumba, nk. Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo. Ukimpigia simu mwenzako, utasikia naumwa kisukari mara huyu, kansa, mara, huyu viungo vimechemka, mara pressure nk.
Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao. Tulikuwa na msemo wa kijinga wa ''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar. Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Wapo watu wanakula Bata hatari tangu shule hadi Sasa na wametoboa kuliko hao wanaojinyima hadi kuvaa na hawatoboi.Una uhakika?
Sure.Wapo watu wanakula Bata hatari tangu shule hadi Sasa na wametoboa kuliko hao wanaojinyima hadi kuvaa na hawatoboi.
Kutoboa ni ishu ya kiroho Zaid kuliko kimwili