Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Nasaha nzuri yenye ukweli ndani yake.. ila pale kati patamu
 
Nyumba hatari sana, ukidondokewa na matofali na kufa je.Kula maisha na hela yako, kesho itajijua yenyewe
 
Na ww mkuu hukuwekeza si ndiyo?
Kama hukuwekeza nyoko wewe [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Pole sana mkuu maana ukiwa na sukari huruhusiwi kula vitu vitamu vyoote hadi papuchi aisee.
Pombe bila mazoezi umri ukiwa magharibi sukari lazma ipite na wewe shwaaaa, nowadays tumesanuka mzee tunakunywa na kufanya mazoezi kwa sana, haya mapombe sio mazuri aisee.
Kuhusu kujenga kwa town hatupawezi bei zamoto sana tunanunua na kujenga kando ya mji huko along Morogoro road kibaha, vigwaza n.k
 
Usipofika fainali je [emoji1]

Utakuwa umewawekezea wengine

Ova
 
Wakumbuke wasidhulumu kwa maana ukidhulumu haki za watu huendelei ng'oo utaishia kupiga dundo na ka vitz kako ulikonunua kwa pesa za kudhulumu ova.
 
Wapo watu wanakula Bata hatari tangu shule hadi Sasa na wametoboa kuliko hao wanaojinyima hadi kuvaa na hawatoboi.
Kutoboa ni ishu ya kiroho Zaid kuliko kimwili
Sure.

Principle ni kutotumia zaidi ya unacho ingiza. Hivo kwenye ulaji wa bata lazima tutofautiane sawa na mila mtu anacho make
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…