Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Hio ni kwako na hatulingani maisha wala matumizi ya pesa hivyo ukikwama usione kila mtu atakwama hata hao wanaokukimbia wanajua huna kitu ukiwa nacho watu wanakukimbilia. Kuhusu wazazi kuwepo au kutokuwepo ni mipango ya Mungu wanaweza wakawepo na wasiwe na msaada kama mtoto wao hajiwezi wao watajiwezea wapi
 
Sema ninyi vijana wa zamani ndo mmeweka misingi mibovu sana kwa nchi hii. Halafu elewa kwamba ninyi wa zamani mlikuwa mkimaliza shule direct kazini sio longolongo. Hadi enzi za Kikwete ajira za ualimu ilikuwa tu ni wewe usitake. Jinsi ya kuwashauri vijana waliohitimu baada ya Kikwete regime lazima iwe tofauti kidogo. Nina wadogo zangu wawili, mmoja ana degree ya ualimu mwingine Petroleum engineering na wote hawana ajira. Nikisema nikurupuke na kuwaona wazembe nitaharibu zaidi.
 
Mawazo Yako ni HASI, Yote unayoongea nayajua na nayafamu!Soma kipengere hadi kipengere ujue naamanisha Nini!Usiwe na mtu wa kujihami na kujitetea sana na kulinganisha maisha
 
Nazungumzia wenye ajira na kujisahau! Tena huwaona wenzao waliokosa ajira hawana Akili.
 
Yasome mazingira unayoishi kwanza, opportunity kila kona boss
Kweli mkuu, kuna jamaa enzi hizo Niko kwetu Mbeya kaja kutoka Moshi sisi tunaona hela ngumu, yeye Akaja na mpango wa kuchoma nyama za mbuzi alikuwa anauza balaa! Sisi tukawa kama wafanyakazi wake, fursa hatuzioni kumbe zipo.
 
Kweli mkuu,kuna jamaa enzi hizo Niko kwetu Mbeya kaja kutoka Moshi sisi tunaona hela ngumu,yeye Akaja na mpango wa kuchoma nyama za mbuzi alikuwa anauza balaa!Sisi tukawa kama wafanyakazi wake,fursa hatuzioni kumbe zipo.
Hahahaha dingi umenichekesha kinoma hapo kwenye "sisi tukawa wafanyakazi wake".... ndo maana inashauriwa watu wapate exposure. Ukitoka Mbeya ukaenda sehemu nyingine kutembea utajifunza mambo mengi.
 
Kweli mkuu,kuna jamaa enzi hizo Niko kwetu Mbeya kaja kutoka Moshi sisi tunaona hela ngumu,yeye Akaja na mpango wa kuchoma nyama za mbuzi alikuwa anauza balaa!Sisi tukawa kama wafanyakazi wake,fursa hatuzioni kumbe zipo.
Ngoja na miye nichomekee hii, sijui kama itaeleweka:
DP World alikuja hapa, sisi tunajamba tu hewa chafu, sasa kavuna sisi tukikenua tu meno hapahapa. Tunaambiwa sisi ni wezi, wavivu, na mengine mengi ya namna hiyo.
 
Msemo wa sasa ni Kula bia kula mbususu......
Ngoja sasa aumwe apelekwe kwenye hospitali za Serikali ya CCM uone jeuri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…