Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Atataja majina yote!Mungu wangu,mama yangu,tata,baba,mama,jamani eeh,ahaa,ngulubhi,mulungu,kyala nk.
Anapigia simu kila akidhani kwakuw alimpa ofa ya pombe atamsaidia.

We toa ofa ya pombe na vyuku lakini wanakuchora tu.

Yaani huwezi kuwa ujachafua meza leo halafu kesho unaamka huna pesa ya umeme.

Then wale uliowapa pombe utegemee watakupa elfu kumi ya umeme never.

Usilaumu watu.
 
Sema ninyi vijana wa zamani ndo mmeweka misingi mibovu sana kwa nchi hii. Halafu elewa kwamba ninyi wa zamani mlikuwa mkimaliza shule direct kazini sio longolongo. Hadi enzi za Kikwete ajira za ualimu ilikuwa tu ni wewe usitake. Jinsi ya kuwashauri vijana waliohitimu baada ya Kikwete regime lazima iwe tofauti kidogo. Nina wadogo zangu wawili, mmoja ana degree ya ualimu mwingine Petroleum engineering na wote hawana ajira. Nikisema nikurupuke na kuwaona wazembe nitaharibu zaidi.
Na vijana wanaoendekeza uchawa kwa kuweka avatar ya mama Samia wajue fainali ni uzeeni
 
Na vijana wanaoendekeza uchawa kwa kuweka avatar ya mama Samia wajue fainali ni uzeeni
Wewe bwege mimi nina biashara zangu zinazonipatia kipato cha kutosha. Nina assets kadhaa ambazo zimeniondoa kwenye kundi la maskini. Sina uchawa wowote ndo maana hata PM nimefunga na kwenye nyuzi zangu siweki namba ya simu. Ninamsapoti Mama Samia kwa kupenda mwenyewe. Sihitaji chochote. Nahitaji tu uongozi mzuri na amani nchini.
 
Sawa mkuu, uko vizuri
 
Sawa mkuu,uko vizuri
Asante. Sio kila mtu anayesapoti Mama Samia ni chawa. Mkuu hata hawa vijana waliomaliza chuo miaka ya karibuni kuna baadhi wako vizuri hawajakaa na kujililia kwamba hakuna ajira. Mdogo wangu aliyemaliza ualimu alishtuka kabla hata ya kuhitimu na kuanza kilimo cha vitunguu. Alianzia chini sana kwa shamba dogo kama robo eka mwaka 2018. Sasa hivi katika umri wa miaka 23 anamalizia kujenga nyumba yake wakati kuna kaka zake wakubwa wengi tu hawana lolote ingawa wako kwenye ajira nzuri.
 
Back
Top Bottom