Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Akianza yeye kuumwa?ukizeeka mke atakua anakusaidia kwenda chooni
ukiumwa mke atakua na wewe bega kwa bega kukufariji mpaka kupona
kijana oa, fainali uzeeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akianza yeye kuumwa?ukizeeka mke atakua anakusaidia kwenda chooni
ukiumwa mke atakua na wewe bega kwa bega kukufariji mpaka kupona
kijana oa, fainali uzeeni
WACHA WALE MAISHA WANGALI VIJANA UNAJUAJE KAMA WATAFIKA UZEENI?Habari wanaJf,Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu.Mimi kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita(26).Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana Maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana .
Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara,mifugo, nyumba,nk.Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo!Ukimpigia simu mwenzako,utasikia Naumwa kisukari mara huyu,Kansa,mara,huyu viungo vimechemka,mara pressure nk.
Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao Tulikuwa na msemo wa kijinga wa''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar .Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Usijinyime ila upuka vitu visivyokusaidia,eti unanunua sad ya milioni3kisa Ronardo anayo!Wakati kuna saa kila sehemu, kwenye computers,Gari,simu ya mkononi,Radio,stand,jamatini nk.Wala kujinyima Sio msingi wa maendeleo
Ingekuwa hivyo basi hata kusoma kusingekuwa na sababu ya msingi kama hofu ni kutojua utafikw uzeeni,!WACHA WALE MAISHA WANGALI VIJANA UNAJUAJE KAMA WATAFIKA UZEENI?
Huo ni upumbavu au unachukua mkopo ununue gari isiyozalishaUsijinyime ila upuka vitu visivyokusaidia,eti unanunua sad ya milioni3kisa Ronardo anayo!Wakati kuna saa kila sehemu, kwenye computers,Gari,simu ya mkononi,Radio,stand,jamatini nk.
Hapo Ndio kipengere!Anapigia simu kila akidhani kwakuw alimpa ofa ya pombe atamsaidia.
We toa ofa ya pombe na vyuku lakini wanakuchora tu.
Yaani huwezi kuwa ujachafua meza leo harafu kesho unaamka huna pesa ya umeme.
Then wale uliowapa pombe utegemee watakupa elfu kumi ya umeme never.
Usilaumu watu.
Huo ni upumbavu au unachukua mkopo ununue gari isiyozalisha.kisa inakula mafuta kidogo!
Simamia mwenyewe.Bora upoteze pesa kwenye starehe kuliko kwenye uwekezaji na usipate faida utaumia Sana.
Fanya vyote kwa pamoja
Unamsaidia wewe!Akianza yeye kuumwa?
Hata ukisimami mwenyew biashara ni rahisi kwenye karatasiSimamia mwenyewe.
Samahani kwa swali hivi kula bata ndio kufanyeje?Shida vijana wanakula Bata kishamba😂😂😂
Onyesha demo chiefDawa ni kufa mapema ukiwa kijana. Inapunguza tabu nyingi sana
Uzi fikirishi sana neno wekeza nimelishikaHabari wanaJf,Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu.Mimi kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita(26).Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana Maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana .
Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara,mifugo, nyumba,nk.Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo!Ukimpigia simu mwenzako,utasikia Naumwa kisukari mara huyu,Kansa,mara,huyu viungo vimechemka,mara pressure nk.
Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao Tulikuwa na msemo wa kijinga wa''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar .Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Upo sahihi haswaSema ninyi vijana wa zamani ndo mmeweka misingi mibovu sana kwa nchi hii. Halafu elewa kwamba ninyi wa zamani mlikuwa mkimaliza shule direct kazini sio longolongo. Hadi enzi za Kikwete ajira za ualimu ilikuwa tu ni wewe usitake. Jinsi ya kuwashauri vijana waliohitimu baada ya Kikwete regime lazima iwe tofauti kidogo. Nina wadogo zangu wawili, mmoja ana degree ya ualimu mwingine Petroleum engineering na wote hawana ajira. Nikisema nikurupuke na kuwaona wazembe nitaharibu zaidi.
Nasikai dp world wanakuja kuongeza life expentancy.Ila tofauti ya life expectancy ya waafrika ni ndogo sana ukilinganisha na wenzetu kufika 90 ni kawaida sana na wao hawadhulumiwi pensions zao na wana raha mpaka wanazeeka kuliko waafrika
Aiseee umenikumbusha mbali sana kuna tajiri mmoja kariakoo anaitwa Mushi, aiseee jamaa ana maeneo Dar kama alijua. Yaani kuanzia Mbezi beach, Masaki , Upanga na pale Kariakoo. Halafu huyu mzee yupo simple tu na landcruiser yake ya zamani. Na kuna yule alikuwa mmiliki wa Tommy milk. Jamaa ana ranch Iringa na maeneo ya kutosha hapa mjini. Ana Mijengo kariakoo,Mbagala na kwingineko aisee acha tu. Hawa wazee wamenifundisha mengi sana. Yaani wanakopesheka any time wakitaka. Wana real estate profile ya kutisha. Halafu nae huyu wa Tommy milk yupo simple tu. Kwa kumalizia hawa jamaa hawajawahi kufanya kazi serikalini. Mzee Lymo wa Tommy milk amenifundiaha mengi sana. Ishu ya ardhi ni muhimu sana pale ambapo unahitaji kukopa hela bank. Kuna matajiri ambao bank zinawabembeleza kuchukua mkopo.Pana Mzee walikuwa wanamcheka mwaka 1993 akiwa bize kununua mashamba dar wanamwambia we umechelewa kweli yaani unalima dar,tumekimbia mashamba kijijini, Mara Dar napo unalima kweli,mwaka 2010 yeye ndio akawa anawacheka wenzake,ukimgusa tu 20 kwa 20 anakwambia bila milion 40 usinisumbue,akawa anaporomosha majumba ya Sasa ya msauzi ma fremu Leo ni mtu mwenye pesa sana waliomcheka mkulima masikini Leo wamestaafu wamechoka mbaya ye ndie boss wao wanamlilia shida