Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

Tatizo tumeumizwa sana na haya mambo work from home Ebu tuzibitishie haya usemayo kuwa ni kweli na uhalisia wa huo mchongo ulivyo bila kuacha shaka yoyote
 
Unakuja kijana ana miaka 30+ anakwambia nimejitolea miaka mitatu kwenye kampuni flani lakini mpaka leo nakula posho tu

Mwingine anakwambia nimejifunza forex miaka mitatu lakini bado nachoma account

Mwingine nina miaka minne lakini bado nalipwa laki tatu

Dunia ya saiv sio ya kulipwa laki tatu au kujitolea miaka mitatu

Kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata

Usipoteze muda huu mwaka kuwa wa tofauti
Sasa watu wanakwambia uwaambie hiyo michongo umekaza hutaki
Wanakwambia tupe mbinu umekaza
Sasa mbona hueleweki mkuu
We kma una nia kweli ya kusaidia vijana wenzio wape njia sio unakaza tu
 
Sasa watu wanakwambia uwaambie hiyo michongo umekaza hutaki
Wanakwambia tupe mbinu umekaza
Sasa mbona hueleweki mkuu
We kma una nia kweli ya kusaidia vijana wenzio wape njia sio unakaza tu
Kama huo ujumbe unashindwa kuuelewa hata nikikwambia fanya kitu flani hutanielewa
 
Is this a proof???
Kwan hizi screenshot si zipo google?? Hata mm naweza kudanload nkatuma hapa.

Nahtaji zle current emails/notifications za international money transfer to Tanzania. Lets say from pioneer/skirill/moneygram/amex to tanzania bank eg exim/equity/absa etc.

Kama hzo ndo proof of earnings basi tuna safari ndefu sana maana nnachoona hapo umescreenshot freelancer profile kama hz hapa tu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2466065View attachment 2466066View attachment 2466067
 
Unakuja kijana ana miaka 30+ anakwambia nimejitolea miaka mitatu kwenye kampuni flani lakini mpaka leo nakula posho tu

Mwingine anakwambia nimejifunza forex miaka mitatu lakini bado nachoma account

Mwingine nina miaka minne lakini bado nalipwa laki tatu

Dunia ya saiv sio ya kulipwa laki tatu au kujitolea miaka mitatu

Kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata

Usipoteze muda huu mwaka kuwa wa tofauti

kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata [emoji2357] ! "mwengine anakwambia nimejifunza forex ?"
 
Back
Top Bottom