Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

Hi.
Umeweka maelezo kwa kifupi sana, halafu ukajikuta katika politics za majibizano na kuthibitisha.
Unge hint hizo fursa na kuelekeza njia ya kuziendea, na kutupa maelekezo tufanye research katika kipi ndugu.
Watanzania wengi wa issue za online ni wachoyo[emoji38]. Dont be one of them man.
The more you help people the more you increase opportunity.
Zipo wanazijua, nina threads nyingi sana humu nawaelezea kila siku

Hao wanaonijibu wananifahamu vizuri
 
Kuna makampuni yashakuwa wajanja wao awaajiri uchukua wahitimu wa kujitolea na kuwapigisha Kazi za kuajiriwa kwa kulipwa posho chakula na nauli utapiga Kazi kwa matumaini ya kuajiriwa hadi utakapoondoka mwenyewe, wanaingiza wengine hivyo hivyo kwa mzunguko huo huo huku mkiwazalishia, faida ya kuwatumia wa kujitolea
1.Huna mkataba huna haki ya kisheria
2.Wanajituma Sana tena bila kusimamiwa less supervision
3.Ni waaminifu Wana nidhamu
4.Ulipwi mshahara, michango, makato mfano kodi nk
5.Ni rahisi kuzificha mamlaka kwamba hawa wanajitolea kupata uzoefu kumbe ndo wanatumika hivyo.
 
Unakuja kijana ana miaka 30+ anakwambia nimejitolea miaka mitatu kwenye kampuni flani lakini mpaka leo nakula posho tu

Mwingine anakwambia nimejifunza forex miaka mitatu lakini bado nachoma account

Mwingine nina miaka minne lakini bado nalipwa laki tatu

Dunia ya saiv sio ya kulipwa laki tatu au kujitolea miaka mitatu

Kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata

Usipoteze muda huu mwaka kuwa wa tofauti
Huu ni unYoko zaidi ya uQumanina ni kwa nini usiwape hizo connection hapa hao vijana?
 
Wewe jamaa inaawezekana kweli unafanya online bussines. Ila namna unavowasilisha nyuzi zako kwa kutaka watu wakufate inbox ndo shda.

Nmesoma na ule uzi wako mwngne.
Tatizo Anajikuta ameshatonoa.
 
Tatizo kelele tu ndo nyingi mbona hushpup alikua anatuoshesha vitendo

Lete picha hapa ukiwa inaendesha RR
 
Back
Top Bottom