Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

Hi.
Umeweka maelezo kwa kifupi sana, halafu ukajikuta katika politics za majibizano na kuthibitisha.
Unge hint hizo fursa na kuelekeza njia ya kuziendea, na kutupa maelekezo tufanye research katika kipi ndugu.
Watanzania wengi wa issue za online ni wachoyo😆. Dont be one of them man.
The more you help people the more you increase opportunity.
 
Unakuja kijana ana miaka 30+ anakwambia nimejitolea miaka mitatu kwenye kampuni flani lakini mpaka leo nakula posho tu

Mwingine anakwambia nimejifunza forex miaka mitatu lakini bado nachoma account

Mwingine nina miaka minne lakini bado nalipwa laki tatu

Dunia ya saiv sio ya kulipwa laki tatu au kujitolea miaka mitatu

Kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata

Usipoteze muda huu mwaka kuwa wa tofauti
Toa maelezo yote acha kufungafunga kamba.

Umeteleza teleza tu hapa hujanasua hoja yako
 
Wewe jamaa inaawezekana kweli unafanya online bussines. Ila namna unavowasilisha nyuzi zako kwa kutaka watu wakufate inbox ndo shda.

Nmesoma na ule uzi wako mwngne.
Ndo lengo langu wanifate niwafundishe
 
Hi.
Umeweka maelezo kwa kifupi sana, halafu ukajikuta katika politics za majibizano na kuthibitisha.
Unge hint hizo fursa na kuelekeza njia ya kuziendea, na kutupa maelekezo tufanye research katika kipi ndugu.
Watanzania wengi wa issue za online ni wachoyo[emoji38]. Dont be one of them man.
The more you help people the more you increase opportunity.
Broo nimeshapost nyuzi zaidi ya 20 humu kuongelea hizo fursa
 
Naona na wewe huna jipya zaidi ya kuja kuwapotezea muda vijana
 
Unakuja kijana ana miaka 30+ anakwambia nimejitolea miaka mitatu kwenye kampuni flani lakini mpaka leo nakula posho tu

Mwingine anakwambia nimejifunza forex miaka mitatu lakini bado nachoma account

Mwingine nina miaka minne lakini bado nalipwa laki tatu

Dunia ya saiv sio ya kulipwa laki tatu au kujitolea miaka mitatu

Kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata

Usipoteze muda huu mwaka kuwa wa tofauti
Ungetoa na mwelekeo sasa, mf. Fursa gani na gani watu wakachkmbe wenyewe kujiridhisha.
 
Cha ajabu hata wewe hzo fursa huzjui ndo maana umeishia bra bra bra bila kuzitaja
 
Kwa jins unavoficha ficha hzo skills,,, hata hii screenshot siiamini.

Watu wanakuuliza ni skills gan ww unaficha ficha unataka ulambwe ndo useme?? Kama ulikua hutaki kusema sasa umeanzisha uzi wa nn? For braging au?
Anataka mumfate pm huelewi nini? [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom