Zipo wanazijua, nina threads nyingi sana humu nawaelezea kila sikuHi.
Umeweka maelezo kwa kifupi sana, halafu ukajikuta katika politics za majibizano na kuthibitisha.
Unge hint hizo fursa na kuelekeza njia ya kuziendea, na kutupa maelekezo tufanye research katika kipi ndugu.
Watanzania wengi wa issue za online ni wachoyo[emoji38]. Dont be one of them man.
The more you help people the more you increase opportunity.
Huu ni unYoko zaidi ya uQumanina ni kwa nini usiwape hizo connection hapa hao vijana?Unakuja kijana ana miaka 30+ anakwambia nimejitolea miaka mitatu kwenye kampuni flani lakini mpaka leo nakula posho tu
Mwingine anakwambia nimejifunza forex miaka mitatu lakini bado nachoma account
Mwingine nina miaka minne lakini bado nalipwa laki tatu
Dunia ya saiv sio ya kulipwa laki tatu au kujitolea miaka mitatu
Kuna fursa nyingi online unahitaji tu information sahihi kuzipata
Usipoteze muda huu mwaka kuwa wa tofauti
Tatizo Anajikuta ameshatonoa.Wewe jamaa inaawezekana kweli unafanya online bussines. Ila namna unavowasilisha nyuzi zako kwa kutaka watu wakufate inbox ndo shda.
Nmesoma na ule uzi wako mwngne.