Umedate na msichana miaka mi4 unajiwekaje kwenye kundi la kataa ndoa. Date na mtu miaka 20 ndio useme. The future is unknownMtoa mada kasema sisi kataa ndoa hatuna pesa, tunashindwa kuhonga. Kwani ye alioa ili ahonge?
Anayelalamika kuhonga ni mvulana huyo hajakuwa.
Tulia basi. Unaujua umri wangu?Umedate na msichana miaka mi4 unajiwekaje kwenye kundi la kataa ndoa. Date na mtu miaka 20 ndio useme. The future is unknown
Sijui umri wako watu wanaoana na miaka 70. Ila miaka mi4 bado sana.Tulia basi. Unaujua umri wangu?
πππHahah mwenyekiti umefika?
Huu uzi ulinipita kweli duuuu...!!! Acheni kuomba omba bana, tafuteni pesa zenuWatakushukia kama mwewe ila ukweli ndio huo.
Mwanaume mwenye hela hata haombwi anajikuta anatoa tu. Ila kuna wengine pia hawana hela ila wanajua kuhudumia wapenzi wao na wanapambana kwa ajili amnunulie kakitu girlfriend wake.
Ila apeche alolo wengine hela hawana na wapenzi hawana, makasirikio wanaleta jf.