Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maish
Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Kutokujua EnglishUoga au pesa na kutojua kiingereza ?
Labda bara Zanziber hakuna family ambae haina mtu Europe America na kwengine imefikia hata Ukisema tu mtanzania wanakuuliza Zanziber??? Kumbuka 2005 waliondoka zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja ..kipindi kile UK hamna visa na ndio sababu wakatuwekea visa...na hawaja simama wanasafiri kila leo..ila bara mhhhh kazi kujiona wazungu ni nduguzao kwavile wanachangia ukristo..kazi kwelikweli.West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maish
Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Si kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Kenya kweli Kuna ukabila hatariSi kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.
Kwenye utulivu wa hali ya ki siasa na usalama tazama nchi kama Nigeria ama zingine za huko west, watu hawana amani wala uhakikawa usalama wa maisha yao, Serikali zinaongozwa na familia chache huku asilimia kubwa ya wananchi wakiwa kwenye lindi la umasikini, katika hali kama hiyo raia wako tayari kuhatarisha maisha yao kwa kutumia hata njia ngumu kufika nchi za ulaya ili kuyatafuta maisha bora.
Sasa Ukristo unahusikaje hapo wewe Hayawani na Gaidi unaevaa Kobazi??😏😏Labda bara Zanziber hakuna family ambae haina mtu Europe America na kwengine imefikia hata Ukisema tu mtanzania wanakuuliza Zanziber??? Kumbuka 2005 waliondoka zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja ..kipindi kile UK hamna visa na ndio sababu wakatuwekea visa...na hawaja simama wanasafiri kila leo..ila bara mhhhh kazi kujiona wazungu ni nduguzao kwavile wanachangia ukristo..kazi kwelikweli.
SIO KWELI...Kutokujua English
90% ya hao vijana wa Africa magharibi unaowaita wapambanaji sijuwi wanakwea pipa kwenda ughaibuni, ,hutumia njia za panya kuingia ulaya,,..West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha.
Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
Kuhusu umaskini wa kutisha hata hapa Tanzania upo! Ila tofauti yetu na wao ni ustahimilivu sisi tunaridhika na hali tuliyonayo wakati wenzetu hawakubali hiyo hali.Si kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.
Kwenye utulivu wa hali ya ki siasa na usalama tazama nchi kama Nigeria ama zingine za huko west, watu hawana amani wala uhakikawa usalama wa maisha yao, Serikali zinaongozwa na familia chache huku asilimia kubwa ya wananchi wakiwa kwenye lindi la umasikini, katika hali kama hiyo raia wako tayari kuhatarisha maisha yao kwa kutumia hata njia ngumu kufika nchi za ulaya ili kuyatafuta maisha bora.
Wa Tanzania wanaongea sana ila wanakiwango cha juu cha ushamba hata ikitokea kapata nafas kasepa shida anawaona wengine wote wajinga yeye tu ndo mwenye akili
Uongo issue sio lugha nchi za Amerika kuini hawajui kiingereza kabisa wanaongea kilatini na ndio wanaongoza kuzamia marekaniWest Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha.
Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
True bongo maisha rahisi ukishindwa mjini unarudi bush kulima magimbi so uzamie mbele ili iwejeSi kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.
Kwenye utulivu wa hali ya ki siasa na usalama tazama nchi kama Nigeria ama zingine za huko west, watu hawana amani wala uhakikawa usalama wa maisha yao, Serikali zinaongozwa na familia chache huku asilimia kubwa ya wananchi wakiwa kwenye lindi la umasikini, katika hali kama hiyo raia wako tayari kuhatarisha maisha yao kwa kutumia hata njia ngumu kufika nchi za ulaya ili kuyatafuta maisha bora.
Hii ndio point ya msingi ujue kutoka nchi yako kwenda nchi za watu kutafuta maisha ni kujilipua ni lazima uwe umeshakata tamaa ya maisha. Sisi hapa kwetu tumelelewa kuleana leana hata ukikosa unga unaonba kwa jirani hii kwa sasa sijui kama bado ipo.Si kweli, kuna watu wanatoka Mali, Cameroon, Nigeria etc. wanakwenda kuzamia USA wakiwa na hizo hizo lugha gongana. Moja ya sababu kubwa inayofanya wabongo wasizamie sana nchi za ng'ambo ni utulivu wa kisiasa hali ya uchumi/maisha inayo stahimilika pia ujamaa wetu umetufanya kwa namna fulani kuwiana ki maisha na fursa pia, mfano leo hii mTanzania anaweza kutoka singida akafika DSM akaanza kuzungusha CV ofisi mbali mbali ama kuomba hata kupiga kazi za vibarua na asiulizwe hata kabila ama dini yake, ila nenda hapo Kwa jirani zetu Kenya huwezi/ni ngumu sana kupata kazi/kibarua kama kabila lako si la mwenye kampuni ama bosi wa eneo husika, pia hata ukikutana na mtu katika kufahamiana tu akikuuliza unaitwa nani atataka asikie jina la ukoo wako ili aweze ku tune mazungumzo yake.