Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja.
Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya Team Lissu na vijana wa zamani wa chadema.
Tofauti na vijana wa zamani kama martin, Bony Yai. Hawa ukitembelea account zao za X Zikijaa hoja na hujibu ukosoaji uliokuwa unafanywa dhidi zikijibiwa kwa hoja.
Hivi sasa vijana wa chawa wa Lissu badala ya kutumia akili na kutafuta ukweli kinachoandikwa