Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni...
Hivi watu mpoje na nyie lakini:

  • Mtu kaamua kugegeda mkono wake. Shida yako mi iki?
  • Chabo na mipicha mingine,wazazi ndo wana makosa. Kwa nini hawajazaa watoto wenye pazia machoni? Waacheni waangalie.

Wewe mwenyewe unahimiza mambo hayo. Ngono tu. Tena zembe.

Mtoto asiejua akisoma hapa si atahitaji kujua?
 
sina nia mbaya ndroogo zangu, viongozi, wajumbe na wanachama wa CHAPUTA. Nimeghafilika kidogo tafadhalini sana sana na sikua na namna nyingine zaid ya kusema yote baada ya kung'atuka uongozini 🤣

Nimekosa mimi, nimekosa sana....
 
sina nia mbaya ndroogo zangu, viongozi, wajumbe na wanachama wa CHAPUTA. Nimeghafilika kidogo tafadhalini sana na sikua na namna nyingine baada ya kung'atuka uongozini 🤣

Nimekosa mimi, nimekosa sana....
Ili tukusamehe Ina bidi uchukue cheo chako, ubunifu na mitindo mipya ya nyetoz😂🤒


 

Attachments

  • IMG_20231108_140242.jpg
    37.4 KB · Views: 12
  • IMG_20231008_162312.jpg
    63.4 KB · Views: 12
  • IMG_20230927_152645.jpg
    36.2 KB · Views: 13
Ndoa hawataki, ukiwashauri utasikia ooh hakuna mapenzi siku hizi, sijui ndoa ni utapeli. Mwisho wa siku kijana wakiume anaishia kujichua na wakike kuanza kusagana.

Ukishafika umri wa kubaleghe ni ngumu sana kupingana na hisia za kujamiana. Hivo suluhisho ni ndoa.
 
Maskini, hurumaaee
 
Mimi nawaonea huruma tu wale wazee wa kataa ndoa, wanaohisi kwamba wakifanya hivyo basi ndio wanawake watajirudi na kuwa na maadili hivyo watawabembeleza wanaume wawaoe, napenda wafahamu tu kuwa tunakoelekea ndio kubaya zaidi hivyo vizazi vinavyokuja ndio kabisa hakuna kubembelezana wala kubow yani

Na huko kwenye usagaji ndiko watakakokimbilia wanawake wengi ambao watakosa ndoa, maana nasikia wengi wanakiri kuwa huko ndiko wanakoridhika zaidi kuliko kwa wanaume ambao ni wabinafsi, wanawaza kuridhika wao zaidi halafu wanaishia kuwachafua tu wanawake bila kuwafikisha vileleni

Mimi nashauri kama mmeamua kukataa ndoa basi hakikisheni mnaikataa kwa dhati na siyo kwa kukomoa au kusikilizia upande wa pili utarespond vipi, na kama mmeamua kuyalinda maadili basi wote myalinde ipasavyo bila kutegeana, au kusema eti jinsia fulani ndio inatakiwa ibadilike nasemaje you'll be disappointed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…