Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Vijana wengi waliofanikiwa zaidi jiji hili ni wale walioingia na mitaji ya kufanya na waajiriwa hawa machinga wanaokuja bila chochote asilimia kubwa hali ni tete kitu kingine kununua ardhi kwa mkoa huu ni ngumu gharama za maisha zipo juu Sana kuanzia usafiri umeme na chakula hivi vitu vinakost Sana jiji hili.Kijijin hakun maisha kama ya mjini. Wacha waje wapambane, umaskin wa mjin na umaskin wa Kijijin ni umaskin wa Aina 2 tofaut
Kwamba umeme wa Dar ni tofauti na wa mkoani ki gharama?Vijana wengi waliofanikiwa zaidi jiji hili ni wale walioingia na mitaji ya kufanya na waajiriwa hawa machinga wanaokuja bila chochote asilimia kubwa hali ni tete kitu kingine kununua ardhi kwa mkoa huu ni ngumu gharama za maisha zipo juu Sana kuanzia usafiri umeme na chakula hivi vitu vinakost Sana jiji hili.