jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama.
Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu yenye ushindani wa haki kuitumia vilivyo na hakika JPM hatawaangusha vijana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA(MZEE SHOMARI)
Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu yenye ushindani wa haki kuitumia vilivyo na hakika JPM hatawaangusha vijana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA(MZEE SHOMARI)