Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA(JINGA LAO)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA(JINGA LAO)
Mdogo wako alisomea udaktari Chuo gani?Nimemukuuliza ww, maana nina mdogo wangu yuko mtaani, na anasema ana wenzake wengi wako mtaani.
Weka list, ili tuone % ya vile viwanda 100@mkoa. Shida iko wapi kuweka list boss?
Mdogo wako alisomea udaktari Chuo gani?
sasa hivi kuna Polyclinics kibao na utaratibu wa madaktari kujiajiri umerahisishwa sana
Kipato ? Unamanisha mshahala aumadaktari na mainjinia wana kipato gani?
amemaliza mwaka gani?ajira 1000 za madaktari bado zipo wazi labda uniambie alikuwa ni kilaza aliyeiba mitihani
Kwani wameisha alipo ajili wale buku, si uliskia wapo 1900 jumla registered, bado wa intern shipunasemaje kuwa madaktai hawana kazi...wakati JPM kaajiri madaktari 1000?
kwani umeambiwa vituo vya kutolea huduma vimeisha?hao 1000 wameacha gape kwenye sekta binafsi...daktari MD anaanzaje kukosa ajira Tanzania?Kwani wameisha alipo ajili wale buku, si uliskia wapo 1900 jumla registered, bado wa intern ship
Haya bado ma engineer, wameajili wangapi ndugu ? Sio kwamba mm ni CDM ila ukweli ndo huo acha waingie kwenye siasa wana uhakika wa kukunja 1B kwa miaka 5 kuliko kusubilia M1.9 ya makato kila mwezikwani umeambiwa vituo vya kutolea huduma vimeisha?hao 1000 wameacha gape kwenye sekta binafsi...daktari MD anaanzaje kukosa ajira Tanzania?
Kwa upande wa Engeneers kuna project nyingi sana zimetekelezwa awamu hii na wamepata fedha za kuingia kwenye kinyang'anyiroHaya bado ma engineer, wameajili wangapi ndugu ? Sio kwamba mm ni CDM ila ukweli ndo huo acha waingie kwenye siasa wana uhakika wa kukunja 1B kwa miaka 5 kuliko kusubilia M1.9 ya makato kila mwezi
Excellently ila mwenyewe nataka nikatie nia kijijini kwetu ingawa nashangaa watu 8 wametia nia na wote professor najiuliza wapo jobless au mishahala yao haiwatoshiKwa upande wa Engeneers kuna project nyingi sana zimetekelezwa awamu hii na wamepata fedha za kuingia kwenye kinyang'anyiro
vijana wasomi kuinngia kwenye siasa ni ukombozi sio kosaKuna tatizo kubwa la vijana wasomi kuingia kwenye siasa badala ya kujali utaalam waliosomea na hii inasababishwa na mfumo(system)kujali zaidi siasa kimaslahi zaidi ya wataalam.
Wewe kweli ni jinga lao.Kwa upande wa Engeneers kuna project nyingi sana zimetekelezwa awamu hii na wamepata fedha za kuingia kwenye kinyang'anyiro