Uchaguzi 2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

Maslahi ya ya kada zingine hayazingatiwi isipokuwa ya wanasiasa tu, kila mtu ameamua ajaribu bahati yake huko.
 
Kuna tatizo kubwa la vijana wasomi kuingia kwenye siasa badala ya kujali utaalam waliosomea na hii inasababishwa na mfumo(system)kujali zaidi siasa kimaslahi zaidi ya wataalam.
Nakuhakikishia hakuna kijana "msomi" anayeweza kukimbilia siasani. Hao ni vijana walioenda shule au vijana waliofuta ujinga,lakini kwa msomi kwa maana ya msomi,kamwe hawezi kwenda siasani,tena hasa hasa kipindi hiki. Nina mdogo wangu yupo Uarabuni kwa sasa,kashiwishiwa sana arudi huko Tanzania "apewe" ubunge wa jimbo,kagoma baada ya kuona yaliyompata "mentor" wake Dk. J. Mataragio. Siasa ya Tz,hasa kwa sasa,haiitaji uwe vizuri "kichwani,kivyeti wala kiheshima".
 
Nimemukuuliza ww, maana nina mdogo wangu yuko mtaani, na anasema ana wenzake wengi wako mtaani.

Weka list, ili tuone % ya vile viwanda 100@mkoa. Shida iko wapi kuweka list boss?

kitu ambacho hukielewi mdogo wako kukosa lisiwe tatizo la serikali,vipi kuhusu qualification au siku hizi mtu ana ajiriwa tu bila interview.
 
Yuko imara kweli ila hao vijana wanataka hela wasitudanganye hapa
 
Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama.
Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu yenye ushindani wa haki kuitumia vilivyo na hakika JPM hatawaangusha vijana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA(MZEE SHOMARI)
acha akili fupi, ni kwa vile aliwaahidi kuwa yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa yatatokea na uchaguzi huu! Kuna kujiamini kuwa nikishapitishwa na CCM, basi nimshakuwa Mbunge maana nitatangazwa hata kama nimepata kura 0
 
Back
Top Bottom