Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama.
Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu yenye ushindani wa haki kuitumia vilivyo na hakika JPM hatawaangusha vijana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Nasikia mnawaita "Ngedere" wanadokoa mahindi ya mawaziri.Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama.
Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu yenye ushindani wa haki kuitumia vilivyo na hakika JPM hatawaangusha vijana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
unasemaje kuwa madaktai hawana kazi...wakati JPM kaajiri madaktari 1000?Hawana Kazi za kufanya. Sielewi kwanini hakuna sera imara TZ za kilimo cha kisasa. Kazi za ukuli wa barabara hazina maslahi wangeweka masoko ya nchi Jirani watu walime
madaktari na mainjinia wana kipato gani?
Rais na Mwenyekiti wa Chama kugawa vyeo ni kazi yake halali...sasa hivi fursa ya kupata vyeo ni uchapa kazi tofauti na awali na vijana wametambua hiloKama mwenyekiti wa ccm alisimama hadharani na kutangaza, kuwa wanaccm wawe wamoja kisha yeye apite kwenye uchaguzi, halafu atawapa vyeo maana vipo vingi! Hivyo kila mmoja anajua akijisogeza atapewa cheo. Hiyo maana yake ni kuwa rais atatumia madaraka yake kunajisi box la kura ili awagaie wanaccm wenzake vyeo. Kwa maneno marahisi, rais kageuza nchi hii ni sehemu ya kugaia wanaccm wenzake vyeo.
Jingalao na hekaya za muuza kahawa mzee Shomari! Tunasubiri stori za Mzee Bujigo muuza ugoro labda hizo zitabamba!Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama.
Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu yenye ushindani wa haki kuitumia vilivyo na hakika JPM hatawaangusha vijana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
unasemaje kuwa madaktai hawana kazi...wakati JPM kaajiri madaktari 1000?
Nipe idadi ya madaktari wasio na ajira ...Madaktari wasio na ajira ni kiasi gani? Halafu kaajiri madaktari 1,000 au katangaza kuwa kaajiri madaktari 1,000. Ni ngumu kuamini data za mtu muongo.
Halafu weka ile list ya viwanda 100@mkoa hapa ili tuamini ukweli wa kisemwacho.
Rais na Mwenyekiti wa Chama kugawa vyeo ni kazi yake halali...sasa hivi fursa ya kupata vyeo ni uchapa kazi tofauti na awali na vijana wametambua hilo
Nipe idadi ya madaktari wasio na ajira ...
viwanda vimefumuka kwa wingi tena hasa katika kipindi hiki cha COVID 19