Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hili jambo linanifikirisha sana.
Sababu hasa ni nini.
Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa.
Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi.
Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na Wahindi ni watulivu sana. Wanamiliki Biashara na Makampuni ya Kwenda. Lakini huwezi kuwasikia.
Hawasikiki kwenye kashfa za Ulevi, uzinzi wala za hovyo hovyo.
Kijana wa Kibongo au Mwingine asili ya Afrika akitoa hata Wimbo mmoja tu uka Hit aisee mtamjua tu hata asubuhi anakula nini na analala wapi. Kutwa kupost hadi Boxer zake.
Je hii ni laana?
Mhindi na Mwarabu akipata pesa na biashara anatulia kuboresha familia yake na uchumi zaidi. Lakini sisi Watz ni kuongeza michepuko kila siku kukimbizana na Kesi za Fumanizi mitaani.
Tuna wajibu wa kubadilika na kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa