matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE.
Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako ya kutoboa. Kama huna kadi ya CCM au Chama chochote kilichojipanga KWA uchaguzi chukua fasta Anza harakati ( ila usitumie rushwa au ushirikina).
Hata kama unavigezo vya Uspika jipange.
Ni aibu nchi hiihii miaka ya kuanzia 80 kurudi nyuma ilikuwa na viongozi wakubwa wenye miaka 22 Hadi 30 Leo watu hawa wanaonekana watoto.
Msiseme sikuwaambia.
Mtumishi
Matunduizi