matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Sio lazima wajumbe wakujue.Wajumbe wanawajua?
matunduizi twende kwanza na NO REFORMS NO ELECTIONKuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE.
Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako ya kutoboa. Kama huna kadi ya CCM au Chama chochote kilichojipanga KWA uchaguzi chukua fasta Anza harakati ( ila usitumie rushwa au ushirikina).
Hata kama unavigezo vya Uspika jipange.
Ni aibu nchi hiihii miaka ya kuanzia 80 kurudi nyuma ilikuwa na viongozi wakubwa wenye miaka 22 Hadi 30 Leo watu hawa wanaonekana watoto.
Msiseme sikuwaambia.
Mtumishi
Matunduizi
Itajulikana tu,wasiache kujaribu!Wajumbe wanawajua?
Reform ikifanyika je? Mbona kama hii kauli inatumika kama na watu walio kata tamaa kana kwamba hakutakuwa na chochote.Naombeni kura zenu lakini kabla ya yote
No Reform No Election
Ni vizuri twende na Yote. Ili ikitokea basi watu wa miaka ya chini nao wawahi fursa. Kila KITU kinawezekana.matunduizi twende kwanza na NO REFORMS NO ELECTION
Achukue form kwanza maana haendi kuwakilisha maisha yake, akikubalika waliomkubali watamsupport.nchi iliyojaa machawa hii, bila kuwa chawa utapenyea wapi?, unajua uchaguzi ni gharama? umesema kijana hana ajira means hana hela atapata wapi fedha za kuzunguka kwenye jimbo husika? most of majimbo huko mikoani yako skatadi
Anapata wapi Laki Tano ?? Alienda Upinzan, atatangazwa???Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE.
Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako ya kutoboa. Kama huna kadi ya CCM au Chama chochote kilichojipanga KWA uchaguzi chukua fasta Anza harakati ( ila usitumie rushwa au ushirikina).
Hata kama unavigezo vya Uspika jipange.
Ni aibu nchi hiihii miaka ya kuanzia 80 kurudi nyuma ilikuwa na viongozi wakubwa wenye miaka 22 Hadi 30 Leo watu hawa wanaonekana watoto.
Msiseme sikuwaambia.
Mtumishi
Matunduizi
Agombee kwanza mengine yatafahamika hukohuko. Watu wanaweza kumuelewa wakamsponsa.Anapata wapi Laki Tano ?? Alienda Upinzan, atatangazwa???
MMungu yupo. Hapo KWA wauaji anaweza kuwapumzisha wao ili wewe ule maishaNaunga mkono hoja ila Kuna baadhi ya majimbo ukienda kwa pupa unakufa💀
Siasa zinahitaji mtaji wa fedha na watu la sivyo utaonekana mwehuItajulikana tu,wasiache kujaribu!
Mbona mwehu!! Kule kijijini kwetu kwenye Uchaguzi ule uliomuingiza Magufuli madarakani kile kipindi cha kampeni ukionekana mtaani umevaa nguo za CCM unaonekana kama mjinga mjinga🤓🤓🤓🤓🤓Siasa zinahitaji mtaji wa fedha na watu la sivyo utaonekana mwehu
Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE.