Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Hizo sampuli ni kamasi,damu,mkojo, au vitu gani,naomba ufafanuzi kama watu wamekufa kunako.mazoezini ni.sampuli zipi.hasa zinazochukuliwa jamani.RIP wajeda juniors.

Sent using Jamii Forums mobile app

niliwahi kuona kwenye kipindi TBC kilihusu sampuli za mkemia mkuu , issue ya sumu sampuli ni ulimi na maini, maini yanasagwa kwenye blender kama ile ya juice wanaweka chemical fulani kama ni sumu hiyo liquid atabadilika rangi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daaaahhhh....!.
R.I.P Afande Andrew Lawrence tulikuanae 832Kj akiwa service man Mimi nikiwa Mujibu wa Sheria OP Makao makuu Dodoma-2019.
He was very polite and strong one..
Anasifa zote za kuitwa MWANAJESHI
Pumzika kwa amani!.
 
Jeshini hua hawatoi idadi kamili ya vifo!, wakisema kumi ujue ni zaidi, ila wana mantain information!

mwisho ni kua ukienda jeshi/kua mwanajeshi, nenda ukijua kua unajitolea uhai wako kwa ajili ya taifa! hvyo usiwaze kuhusu kufa kwa namna yyte ile, maana mwanajeshi anatembea na kifo mfukoni.

kuna jamaa alikufa, ndugu zake hawakupewa sababu ya kifo, ilisemekana alipigwa na wenzake
 
Hawawezi kutoa, rumors has it hao jamaa walinunua chakula njiani (mahindi ya kuchoma,kama sijasahau) ,kumbe yule muuzaji ni mvaa kobazi hivo alikuwa pale kwa lengo maalumu, alishaweka sumu kwenye mahindi
Daaaah
 
Daaaahhhh....!.
R.I.P Afande Andrew Lawrence tulikuanae 832Kj akiwa service man Mimi nikiwa Mujibu wa Sheria OP Makao makuu Dodoma-2019.
He was very polite and strong one..
Anasifa zote za kuitwa MWANAJESHI
Pumzika kwa amani!.
Same man alikuwa afande wangu Ruvu
Jamaa mpole kinoma na masihara ya hapa na pale
Anyway apumzike kwa amani[emoji120]
 
Back
Top Bottom