Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Tatizo jeshi lishakuwa sehemu ya ajira kama ajira zingine watu wanaenda kwa maelekezo afya mbovu
 
Naomba msaada kuwa hii ikoje, vifo vimetikea January 30,
Lakini orodha ya waliokufa sijaiona.
Hi inakuwaje? View attachment 1345564

Sent using Jamii Forums mobile app
1:ABDALLAH RASHID ABDALLAH
2:ISSA SHABAN TOZO
3:YOHANA EFRILAHA MZAVA
4:ANDREW LAWRENCE SOMOINE
5:GIFT EMMANUEL SIMWANGA
6:ATHUMAN KHAMIS MOHAMMED
7😛ATRICK ZENOBI MWANGAMA
8:MUBARAKH RAMADHAN MWENDEKI
9:KASSIM ALLY MTULIA
10:VENANCE JUVENANCE MSABILA
 

Attachments

  • IMG_20200203_163532.jpg
    IMG_20200203_163532.jpg
    10.1 KB · Views: 8
Vijana wa JKT wakiingia police mara nyingi hupangiwa FFU wanawadharau sana police wenzao ambao hawakutokea jkt
'Mti unakatwa anatokea kichaa mmoja anawaambia madogo waudake'

No wonder jamaa hua wanawaita wenzao(police) ni raia wakakamavu.

dodge
 
Thanks mkuu [emoji120][emoji120]
... Poleni waliopatwa na msiba moja kwa moja.
1:ABDALLAH RASHID ABDALLAH
2:ISSA SHABAN TOZO
3:YOHANA EFRILAHA MZAVA
4:ANDREW LAWRENCE SOMOINE
5:GIFT EMMANUEL SIMWANGA
6:ATHUMAN KHAMIS MOHAMMED
7😛ATRICK ZENOBI MWANGAMA
8:MUBARAKH RAMADHAN MWENDEKI
9:KASSIM ALLY MTULIA
10:VENANCE JUVENANCE MSABILA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini kamandi ikawa na mkuu wake anae teuliwa na Rais.???
JKT ni jeshi lililo kamilika na ndio maana lina mkuu wake na lina vikosi vyake.
Jkt ingekuwa jeshi bila shaka ingekuwa na wanajeshi wake binafsi lakini nakwambia kamandi maana ipo chini ya JW na wale wanajeshi ni waajiriwa Wa jeshi La wananchi.ndio maana hata mkuu Wa Jkt mwenyewe ni mwajiriwa Wa jeshi la wananchi na anafanya kazi zake chini ya miongozo na miiko ya jeshi la wananchi Wa Tanzania.
 
RIP our heroes.
Wafiwa tunawaombea kwa MUNGU awape moyo wa ustahimilivu katika wakati huu mgumu kwa kuwapoteza wapendwa.

Kifo ni kifo, hakikosi sababu. Cha msingi tukumbuke, Innalillah....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha siku tulikroo sehemu senyenge zimesukwa kiasi kwamba ukinyanyua mgongo kidogo tuu umeisha umbe kulikuwa hakujafanyiw usafi siku nyingi (japo ni sehemu maalum kwa kazi hiyo)kumbe kuna manyingu bhana yaani wee acha tuliipata fresh
Doh
 
Wewe private sijui koplo wa jwtz inasikitisha kuona mpaka saivi hujui maana ya jkt.

Kwa hiyo hata kamandi za jwtz hujui zipo ngapi? [emoji44][emoji44] hebu tusibishane sana nenda kwa CO wako muulize kamandi za jwtz zipo ngapi na akupe na majina yake ukikuta jina la jkt njoo tuendelee na mada yetu.
Sawa mkuu itakuwa kweli maana sijawahi kufanya kazi jeshini wala chombo chochote cha ulinzi.
Kuniita private au koplo ni kunivisha vyeo nisivyovielewa.
 
Back
Top Bottom