Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

May be ilikuwa ajali tu.
Hata mafunzo ya kikomando hawawezi kufa askari wanafunzi 10 kwa mkupuo.
Tatizo maaaskari wa vyeo vya chini wanapoachiwa kusimamia vijana wanawapa mafunzo na kazi ambazo haziko kwenye ratiba ya mafunzo.
Mti unakatwa anatokea kichaa mmoja anawaambia madogo waudake, mto una maji mengi anatokea kichaa mmoja anawalazimisha vijana waingie kuogelea huku wengine tangu wazaliwe hawajawahi kuugusa hata mfereji.
Hapa ndipo Ajali huweza kutokea

Umeongea ya kweli kabisa
Ata enzi niko kule JKT kulikuwa na watafuta sifa, wanaona wakifanya hivyo wataonekana vidume zaidi na kupata madem kirahisi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeongea ya kweli kabisa
Ata enzi niko kule JKT kulikuwa na watafuta sifa, wanaona wakifanya hivyo wataonekana vidume zaidi na kupata madem kirahisi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani wale makoplo ni shida sana! Tena usimkute mkufunzi ana stress au kwenye platoon yenu kuwe na demu anamtaka, haaaa haaaa haaaa mbona mtaiva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom