Waziri wa Ulinzi na JktUna uhakika na unachokisema? Tafuta sheria iliyounda JKT kwanza usikurupuke.
Kama mazoezi yenyewe ni yale ya kupigwa na matofali kichwani halafu ukute mjeda mwenyewe aliye mafunzoni ni mtoto wa mama ataachaje kufwa wajameni.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sampuli ni kamasi,damu,mkojo, au vitu gani,naomba ufafanuzi kama watu wamekufa kunako.mazoezini ni.sampuli zipi.hasa zinazochukuliwa jamani.RIP wajeda juniors.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nasikia kwenye kozi akifa mtu ndo inaonekana kozi imewaivisha vijana,Daaah Anyway Nimempoteza rafiki yangu kipenzi .RIP Venance. figganigga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira za kupendeleana zisiwepo mtu aende jeshini ahakikishe kweli Yuko fit jeshi lisije anza kulaumiwa kuwa wengi wanakufa mazoezini kumbe wanaenda Wana afya mbaya
mkuu hii inatokana na nini maana wale walitoka kwenye zoezi la ruti na haikua ndefu sana kufika kikosini wakaanza kuanguka tu.
Na wote ni Wa kiume
Jeshini hua hawatoi idadi kamili ya vifo!, wakisema kumi ujue ni zaidi, ila wana mantain information!
mwisho ni kua ukienda jeshi/kua mwanajeshi, nenda ukijua kua unajitolea uhai wako kwa ajili ya taifa! hvyo usiwaze kuhusu kufa kwa namna yyte ile, maana mwanajeshi anatembea na kifo mfukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kam kafa kuku..kuna jamaa alikufa, ndugu zake hawakupewa sababu ya kifo, ilisemekana alipigwa na wenzake
yaani kam kafa kuku..
Hawawezi kutoa, rumors has it hao jamaa walinunua chakula njiani (mahindi ya kuchoma,kama sijasahau) ,kumbe yule muuzaji ni mvaa kobazi hivo alikuwa pale kwa lengo maalumu, alishaweka sumu kwenye mahindiTupewe update tafadhali
DaaaahHawawezi kutoa, rumors has it hao jamaa walinunua chakula njiani (mahindi ya kuchoma,kama sijasahau) ,kumbe yule muuzaji ni mvaa kobazi hivo alikuwa pale kwa lengo maalumu, alishaweka sumu kwenye mahindi
Same man alikuwa afande wangu RuvuDaaaahhhh....!.
R.I.P Afande Andrew Lawrence tulikuanae 832Kj akiwa service man Mimi nikiwa Mujibu wa Sheria OP Makao makuu Dodoma-2019.
He was very polite and strong one..
Anasifa zote za kuitwa MWANAJESHI
Pumzika kwa amani!.