Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Huyu jamaa anajiita Mdude .
Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa.
Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer.
Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita mbali kiharakati.
So ikiwa anataka kufanikiwa either arudi darasani au aachane na siasa maana anatumika tu.
Kina Melisa Gj , Yericko na wengineo wamejiunga katika siasa za upinzani kimkakati ili kupata hela and nothing else.
#Mbowe must go