Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

NIMEIPENDA kofia ya made in china

Hii vita china mshindi hana cha kupoteza
Trump ni mpuuzi mwenzake Biden alikuja na sera ya kuyapa makampuni ruzuku kuyapunguzia gharama za uzalishaji yawekeze zaidi Marekani yeye kaja kuvuruga kila kitu.
 
Trump ni mpuuzi mwenzake Biden alikuja na sera ya kuyapa makampuni ruzuku kuyapunguzia gharama za uzalishaji yawekeze zaidi Marekani yeye kaja kuvuruga kila kitu.
Ila wazayuni wanamsifia kama anachofanya ni cha maana sana
 
China walijiandaa muda mrefu na hii vita watashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…