Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

Kibiriti kimejaa! Kichwa maji anajidanganya katika uwezo asiokuwa nao!
 
Ila nikumbuka jinsi Huawei ilivyokufa kipindi kile...bado mapema Sana kusema Marekani amefeli, hayo majamaa Yana mikakati iliyosukwa nyuma ya pazia .
Huawei haijawahi kufa na bado inafanya makubwa kuliko hata kampuni za Marekani na Ulaya
​
 
Trump is Populist anafanya mambo yanayoridhisha immediate voters kwa wakati huo bila kujali consequences..., hio ndio disadvantage nyingine ya demokrasia...; Populist na Demagogues wanaweza kuchukua nchi kwa kuwaeleza watu vitu wanavyotaka kusikia; Wahenga waliopita walituonya

Voting is a skill that should be taught and learned;
Imagine an election debate between two candidates, one less skilled- a sweet-shop owner and the other very skilled- a doctor. The sweet-shop owner would manipulate the audience saying: ‘this man is of no good; he works evil on you, hurts you, gives you bitter potions, and places restrictions on your eating and drinking. But I will serve you feasts of many and varied pleasant things’. How effective could the doctor respond? Intuitively, the true answer- ‘I cause you troubles and go against your desires to help you’ would cause uproar among the voters. To Socrates, those who should vote are those who have thought deeply and rationally about it. Plato draws from this when he argued that philosophers should vote otherwise, what Aristotle called mob-rule would ensue.


My take: we should ensure that we Voters are informed
 
Back
Top Bottom