Vijiji Vyote sasa Vina Umeme na Smart Phone, Tundu Lissu Samia wanajulikana Kila Mahali

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
CCM Hapo zamani walikuwa wanatumia udhaifu wa elimu ndogo na mawasiliano dhaifu kudanganya na kuhujumu mambo ya uchaguzi, sasa mambo yamebadilika , serikali hiyo hiyo ya ccm imefikisha umeme kila kijiji na kuboresha mawasilino karibia vijiji vyote 13,000. CCM wapiga kura wao wengi walikuwa ni wazee na vijana wa zamani wasioelewa kitu ambao sasa idadi yao ni ndogo .

Lengo langu ni kuwahabarisha wanajamvini kuwa , kwa sasa hakuna kijiji au jamiii au mkoa usiojua kuwa CCM walijipendekeza kuchukua urais kwa nguvu na wajumbe ni kama hawakupewa nafasi ya kuchagua wanayemtaka, pia Nchi nzima ambayo wapiga kura wengi ni Generation Z, yaani vijana wa mabadiliko wanajua kuwa Tundu Lissu amechaguliwa kwa haki, na hakuna uwizi uliofanyika,

Pia nchi nzima inajua kuwa CCM inaibaga UCHAGUZI , sasa ni jukumu la Wapinzani kuhakikisha CCM hawaibi kura. Mapolisi wengi nafanya nao kazi wanajua Tundu lissu ni mzee wa kazi na hana masihara, nadhani Tundu Lissu baada ya Samia ndio mwanasiasa maarufu zaidi, lakini kwa wanasiasa wanaopendwa nchi hii nadhani Tundu Lisuu ni Namba moja kwa sasa, akifuatiwa Na Marehemu Magufuli. Nakumbuka Tundu Lissu Alifanya Ziara katika wilaya mbalimbali sasa cha ajabu vilifanyika vikao vya ndani, baadhi ya barabara zikawekwa sawa, na kero mana walijua akija huyu mtu na wananchi wakampa shida zao, serikali itaanguka.

Watanzania sasa ni kama wamaamini kuwa Tundu Lissu anaweza kupata kura nyingi kama hakuta kuwa na Uwizi ambao Tundu Lissu Kushirikiana na Trump na Rafiki zake wa Umoja wa Ulaya ameahidi kumaliza kero Hiyo.

Pia kwa Ushauri kwakuwa CCM imenunua wasanii na wanamuziki wote Nchini nafikiria Chadema iwatumie wanamuziki wa Kenya kujitangaza, kwani hawana mambo ya uchama, Wasanii ukiwakuta wakula bangi na Pombe zao wanamwita Lissu Mwamba, wanaamini ana akili sana na NI MTU WA MIUJIZA KUPONA RISASI 16. Ila hawawezi kuongelea hilo, wao wanasubiri mange kimambi aongeee akampe Likes. Nadhani Mange atampigia sana Kampeni Lissu.

Sina Nia ya Ukabila lakini Tundu lisuu anakubalika zaidi na Jamii za Kifugaji (Wamasai na Wasukuma) ambapo ndo makabila yenye idadi kubwa ya watu nchini , kwa namba moja na namba mbili, uchaguzi wa mwezi wa Kumi utakuwa hatari sana, huko ngorongoro zimechinjwa ngombe na wamasai baada ya kusikia tundu kashika uenyekiti, wamesema aje tumpe kura, kura zote za wamasai watampa Lissu
 
Hilo Jukumu La Serikali Baada Ya Wananchi Wa Tanzania Kulipa Kodi
Pia Misaada Ya Mabeberu
 
CCM Hapo zamani walikuwa wanatumia udhaifu wa elimu ndogo na mawasiliano dhaifu kudanganya na kuhujumu mambo ya uchaguzi, sasa mambo yamebadilika , serikali hiyo hiyo ya ccm imefikisha umeme kila kijiji na kuboresha mawasilino karibia vijiji vyote 13,000. CCM wapiga kura wao wengi walikuwa ni wazee na vijana wa zamani wasioelewa kitu ambao sasa idadi yao ni ndogo .

Lengo langu ni kuwaabaharisha wanajamvini kuwa , kwa sasa hakuna kijiji au jamiii au mkoa usiojua kuwa CCM walijipendekeza kuchukua urais kwa nguvu na wajumbe ni kama hawakupewa nafasi ya kuchagua wanayemtaka, pia Nchi nzima ambayo wapiga kura wengi ni Generation Z, yaani vijana wa mabadiliko wanajua kuwa Tundu Lissu amechaguliwa kwa haki, na hakuna uwizi uliofanyika,

Pia nchi nzima inajua kuwa CCM inaibaga UCHAGUZI , sasa ni jukumu la Wapinzani kuhakikisha CCM hawaibi kura. Mapolisi wengi nafanya nao kazi wanajua Tundu lissu ni mzee wa kazi na hana masihara, nadhani Tundu Lissu baada ya Samia ndio mwanasiasa maarufu zaidi, lakini kwa wanasiasa wanaopendwa nchi hii nadhani Tundu Lisuu ni Namba moja kwa sasa, akifuatiwa Na Marehemu Magufuli. Nakumbuka Tundu Lissu Alifanya Ziara katika wilaya mbalimbali sasa cha ajabu vilifanyika vikao vya ndani, baadhi ya barabara zikawekwa sawa, na kero mana walijua akija huyu mtu na wananchi wakampa shida zao, serikali itaanguka.

Watanzania sasa ni kama wamaamini kuwa Tundu Lissu anaweza kupata kura nyingi kama hakuta kuwa na Uwizi ambao Tundu Lissu Kushirikiana na Trump na Rafiki zake wa Umoja wa Ulaya ameahidi kumaliza kero Hiyo.

Pia kwa Ushauri kwakuwa CCM imenunua wasanii na wanamuziki wote Nchini nafikiria Chadema iwatumie wanamuziki wa Kenya kujitangaza, kwani hawana mambo ya uchama, Wasanii ukiwakuta wakula bangi na Pombe zao wanamwita Lissu Mwamba, wanaamini ana akili sana na NI MTU WA MIUJIZA KUPONA RISASI 16. Ila hawawezi kuongelea hilo, wao wanasubiri mange kimambi aongeee akampe Lokes. Nadhani Mange atampigia sana Kampeni Lissu.

Sina Nia ya Ukabila lakini Tundu lisuu anakubalika zaidi na Jamii za Kifugaji (Wamasai na Wasukuma) ambapo ndo makabila yenye idadi kubwa ya watu nchini , kwa namba moja na namba mbili, uchaguzi wa mwezi wa Kumi utakuwa hatari sana, huko ngorongoro zimechinjwa ngombe na wamasai baada ya kusikia tundu kashika uenyekiti, wamesema aje tumpe kura, kura zote za wamasai watampa Lissu
Lengo la kusema umeme upo kila sehemu na vijana wanamiliki simu ni lipi kama kumbe unaamini hivyo vyote havisaidiii hata kama vipo??
 
Hilo Jukumu La Serikali Baada Ya Wananchi Wa Tanzania Kulipa Kodi
Pia Misaada Ya Mabeberu
wananchi sasa wanajua kila kitu, wala ile sio hisani. walitumia ujinga wa wananchi kuonekana wao ndo wanafanya
 
Lengo la kusema umeme upo kila sehemu na vijana wanamiliki simu ni lipi kama kumbe unaamini hivyo vyote havisaidiii hata kama vipo??
Kuna Propaganda ilisambaaga kuwa Chadema inajulikana Mjini tu, Muda C mrefu online tv zitapigwa marufuku habari za chadema nakwambia
 
Wanatumia dola.na kuaminisha watu hata wakichagua tofauti na CCM CCM watashinda...time huru ndio mpango alafu Kuna sehemu vyama pinzani kwanZa havipo..Ila CCM Ina mizizi kote ...kazi bado ninkubwa
 
Kila kitu kina mwisho
 
Back
Top Bottom