Vijiti vimeingiaje kwenye hii chupa?

Vijiti vimeingiaje kwenye hii chupa?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
Mshana Jr na wadau wengine, hii kitu inawezekanaje? Vijiti vilivyokwishafungwa vinaingiaje humu? Hii ni live!

IMG_20230710_123424.jpg
 
Au pia kamba inatanuka hivyo baada ya kupata Maji akawa anaingiza kwa kuvipanga kimoja kimoja.

Ila zaidi ni kuwa reflection of light inafanya tuvione vijiti kwenye chupa iliyo na Maji
Jamani hii live vijiti vikubwa hivyohivyo vimewkwa na ukichunguza vimefungwa kamba na kwenye kamba kuna nyuzi zimefunga kamba
 
Chupa ilikatwa kwa chini vikaingizwa halafu ikarudishiwa kama ilivyo hapo awali na kujazwa maji. Kwa plastic hili ni zoezi rahisi sana...

Kwa nini hili lifanyike Mshana atakuja kufafanua....
 
Back
Top Bottom