Vijue vijiji vitano maarufu Tanzania bara

Vijue vijiji vitano maarufu Tanzania bara

Mkapa kazaliwa Lupasu ila kakulia Kilimanjaro kiasi kwamba kule Lupasu anakwenda kula panya tu na ugali wa muhogo. Hata lugha yake ya kimakua kishaisahau kitambo, yeye ni kichagga na kisambaa tu.
 
Lupasu akifahamiki kihivyo kwani Mkapa yeye anajiita Mpare/Mchagga....na wananchi wa huko Lupasu wala hawana mpango naye kwani haonekani kabisa huko labda ashikwe tu na hamu ya kula panya then anaibukia huko ghafla kwa dakika kadhaa tu kisha anarudi kwao Lushoto na Kilimajaro.
Lushoto, Tanga. Umeua mkuu!!!!
 
Mkapa kazaliwa Lupasu ila kakulia Kilimanjaro kiasi kwamba kule Lupasu anakwenda kula panya tu na ugali wa muhogo. Hata lugha yake ya kimakua kishaisahau kitambo, yeye ni kichagga na kisambaa tu.
Mbutaa, acha utani, mtu asahau kwao wakati wengine wanajenga Airport
 
Kuna kingine kinaitwa kwamsisi kipo Tanga ni maarufu kwa ndumba simba na yanga zinapiganaga vikumbo huko
 
takwimu ya Twaweza.
bora yule jamaa alosema Gamboshi alipatia sana kwa asilimia kubwa,
yani ya hivyo vijiji ulivyotaja angalau Kolomije unaweza julikana na Butiama,ila vingine ni ✂
 
Habari wana JF.

Leo nawaletea vijiji maarufu zaidi Tanzania bara.

1. Kolomije: Hiki kipo wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Hiki kilijipatia umaarufu kuliko vijiji vyote tangu march 2017. Hiki ni kijiji alichozaliwa Mheshimiwa Paul Makonda, RC Dar.

2. Butiama: Hiki kipo wilayani Butiama mkoani Mara. Huko ndiko alikozaliwa mwasisi wa Taifa hili Julius Nyerere.

3. Msoga: Hiki kipo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Huku ndipo anapoishi na nyumbani kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

4. Lupasu: Hiki kipo wilayani Masasi mkoani Mtwara. Huku ndipo alipozaliwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

5. Ngarash: Hiki kipo wilayani Monduli mkoani Arusha. Huku ndiko alipozaliwa Edward Lowassa.

NB: Chato sio kijiji bali ni mji na halmashauri iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.


Nawasilisha.
Lupasu na ngarash ndo nimevijua leo nadhani havikutajwa sana
 
Back
Top Bottom