Vijue vijiji vitano maarufu Tanzania bara

Mbutaa, acha utani, mtu asahau kwao wakati wengine wanajenga Airport

Unashangaa hili, muulize Mkapa. Jamaa hajuwi lugha yake ya asili na ukimuuliza ama kumsalimu kilugha anakutukana na kusema kuwa yeye ni mtu wa Kilimanjaro.
 
Umesahau kijiji cha dodoma kilichotangazwa mwezi wa tano
 
Sio kweli.. Mkapa amesaidia sana huko kwao na anaenda mara kwa mara

Amesaidia nini kule kumpeleka barabara mpaka mlangoni kwake? Ile alifanya vile kwa sababu akiwa na hamu ya kula panya ndipo alikuwa anakwenda kule kula kama siku mbili hivi, hamu ikimuishia anarudi kwao Kilimanjaro/Lushoto.
 
Chilonwa. Kiko Chamwino Idodomya. Ndiko ALIKOISHI Chonya wa Shida.
 
gezaulole ya wap hii mkuu
Kijiji cha kwanza cha ujamaa alichokianzisha mwalimu kwa ajili ya watu wa pwani/dar. Hata wimbo ulitungwa wa Gezaulele mamaaaaaa. Wahenga wa late 60s na early70s watauimba mpaka liamba maana enzi hizo ni RTD tuuuu.
 
nilijua ni ile iliopo wilaya ya HAI ambapo ndo makao mkuu ya wilaya ya CHADEMA
 
hi
Habari wana JF.

Leo nawaletea vijiji maarufu zaidi Tanzania bara.

1. Kolomije: Hiki kipo wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Hiki kilijipatia umaarufu kuliko vijiji vyote tangu march 2017. Hiki ni kijiji alichozaliwa Mheshimiwa Paul Makonda, RC Dar.

2. Butiama: Hiki kipo wilayani Butiama mkoani Mara. Huko ndiko alikozaliwa mwasisi wa Taifa hili Julius Nyerere.

3. Msoga: Hiki kipo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Huku ndipo anapoishi na nyumbani kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

4. Lupasu: Hiki kipo wilayani Masasi mkoani Mtwara. Huku ndipo alipozaliwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

5. Ngarash: Hiki kipo wilayani Monduli mkoani Arusha. Huku ndiko alipozaliwa Edward Lowassa.

NB: Chato sio kijiji bali ni mji na halmashauri iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.

Nawasilisha.
hio lupasu na ngarash ndo kwanza navisikia, HAVINA UMAARUFU WOWOTE!
 
kiraracha ni kijiji alichozaliwa mwenyekiti wa paroli mh mrema
 
Back
Top Bottom